Rafiki yangu kanipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake mwenyewe

Ni wazo zuri japo nauona ugumu sana huko maana kumbuka mama wa kambo anaweza kumtisha mtoto ili asiseme ukweli, mnafika huko mtoto anaulizwa anakataa katu katu kuwa hajawahi kuteswa so ushahidi unakosekana na inaonekana mama wa kambo kasingiziwa halafu wanarudi nyumbani mtoto ata-pay the price so ataumia zaidi badala ya kusaidika
 
Mkuu Mleta mada hongera Kwa utu na pole Kwa yaliyokukuta...

Nikueleze tu ukweli ukishaona mwanamke anafanya matendo ya namna hiyo bila kificho, jua huyo mwanamke ni mshirikina sana, na keshamfunga Mume wake, Kwa hiyo nenda taratibu, hutaeleweka.

Unachoweza kumsaidia mtoto labda kuzungumza na Bibi yake au ndugu yeyote wa Mume wakakae nae.
 
Mimi ninachoona a record video alafu arushie mtandaoni. Asiongee na jamaa Wala nini.
Apa umeenda nje kabisa,yani ni sawa nikute ugomvi wenu afu niurushe tu mtandaoni wakati swala lipo katika uwezo wako
 
Hongera Kwa utu na pole kwa yaliyokusibu...Mrejesho umekuwaje baada ya kikao mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…