Rafiki yangu katumiwa video WhatsApp na aliekua na bifu naye akimla demu wake, je afanyaje?

Limbwata kapewa huyo huwezi kupenda demu usie mjua hivo. Tena ananyanduliwa.

Walipie na nauli ya Taxi. Guest Wakanyanduane vuzuri wakimaliza wewe una hela. Yaaani una lilia ukmwi? Mateso? Shukuru huyo umemjua alivo unalilia utoko?

Tatizo la kuwa na kademu kamoja ndo hili.wenzako dem akikupiga chini kesho una mkali kuliko yeye tena anakula kinge tu.
 
Mwambie rafiki yako aache ujinga...vya utamu vimezaliwa vingi na amshukuru jose kwa kumpa fundisho kuwa wanawake wa kwako ukiwa unamgegeda akitoka nje wakina jose wanajiokotea tuu.
 
Baeleze ...kidume unatakiwa kuwa na warembo angalau wasipungue watatu kwa wakati mmoja.
 
Mbona jambo la kumshukuru mungu, allah kamuonesha ngozi halisi, katika maisha hasa mapenzi ukiweza kuuendesha moyo wako badala ya moyo kukuendesha wewe umefaulu..

Anasubiri nini huyu muhuni, hapo ni kujivua gamba tu, na kumove on kama mjomba cobra [emoji216]

Pesa zikupe tabu, hata mapenzi nayo yakupe headache..
Mjomba adam alipata goma lake hawa kiulani..
Na mungu hakusema tutapata mapenzi kwa tabu, bali mkate wetu ndio kwa tabu, sasa ya nini kujipa maumivu ya bure.
Mapenzi ni tulizo la nafsi zetu na sio chanzo cha ugonjwa wa moyo.
 
Mwambie rafiki yako aache ujinga...vya utamu vimezaliwa vingi na amshukuru jose kwa kumpa fundisho kuwa wanawake wa kwako ukiwa unamgegeda akitoka nje wakina jose wanajiokotea tuu.
Na mapenzi yalivo yakijinga hawatadumu ktk hali hiyo. Navoandika hapa wanaanza jilaumu sana kwa utoporo

babake na kaka zake demu wataona.

Mamake na dada zake jose wataona cinema za bure so what?

si wewe mleta mada unawajua? Watumie..tu rahisi

unalia bureeee! Wkt kilio ni chao sasa umekibeba weye kilio hicho!!!

Soon!! hawa Watapigika kama. Mbwa koko alie kosa mwelekeo wee!!

kaa kimya tu km hujui kitu.
Gonga bia piga kazi one day utapigiwa magoti ila kausha!

Inaonekana hata hiyo flame ni hela za dem! Unaogopa atakunyang'anya. Sema ukweli wako....
 
Naomba hizo connection mbili ,hiyo ya kwako na ya mbunge wa chadema
 
Huyo ni zwazwa ambaye hajui vita. Vita ni vita Mura. Alianzisha yeye mwenyewe, Aache kulia kulia!
 
sasa wewe unachotaka ni nini hasa? Rafiki yako aendelee na huyo demu? Au amuache? Maana wadau washakuambia kuwa huyu demu ni bomu la nyuklia ww huelewi. Jambo la msingi mwambie jamaa amsamehe tu kwani kutenda kosa siyo kurudia kosa.
 
Mtumie warumi hiyo vidio umpe na maelezo kuwa asimpe mtu mwingine yoyote,
Halafu thanks me later
 
dah yani hyo vdeo nmetoka kuiona sna hata nusu saa sema nmetoka kutumikia ban mda si mrefu ningeishusha humu kwa jins alivyokuwa anapelekewa miti na jamaa dah mshkaji anahaki asile hata mwez
nitumie PM mwanangu hata kama muamala utahitajika nakurekebishia
 
Hilo ni kosa la Jinai,kusambaza picha za utupu mtandaoni.aliyeathirika sana zaidi kwenye huo ugomvi ni huyo mwanamke.

Sema kama ametumia namba ya china,itachelewesha ushahidi.Ijapo pia anaweza patikana na hatia ya kutumia namba za nje kutenda kosa.

Huyo jamaa amshawish huyo dada aende tuu kwenye vyombo vya sheria.Ili kukomesha dada zetu kudhalilishwa
 
Sasa kwani shida ni Jose!?

Hem muacheni Jose wa watu.
HAPAna shida ni video maana bila video jamaa asingejua na ingekua kamchezo ka kimyakimya huku wanamuenjoy jamaa!
Jose inabidi ashukuriwe kwa kumuasha jamaa afahamu aina ya mwanamke wake
 
Tell him everything have price to pay🤓🤓
 
HAPAna shida ni video maana bila video jamaa asingejua na ingekua kamchezo ka kimyakimya huku wanamuenjoy jamaa!
Jose inabidi ashukuriwe kwa kumuasha jamaa afahamu aina ya mwanamke wake
Hapana shida ni character wa video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…