Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
Ndio kitu tunajadiliana hapa unaishije nahana kaz nyingine anategemea hapohapo huu s unyonyaji huu? walimu wapewe maua yao tena mtu unamuuliza kwa hiyo unafanysje anajibu ndio changamoto za kazi kama amelogwaShule private nyingi ndio tabia yao. Kuna shule moja walimu wanadai mishara zaidi ya mwaka mzima. Sasa anawalipa kidogo ila yeye na manejimenti ambayo ni wanafamilia yake kila siku wanabadilisha magari.
Hivi humlipi mtu mshahara unategemea nini, jua atakuibia tu.
mna ufala mwingi sana watu wa jfPole mwalimu, Pole mimi, Pole na waJF woote
anajipa matumaini ni changamoto tu kazniKwani anasubiri Nini kuachana na hiyo shule akatafute kwingine?
angalia hii pakaPole sana kwa unayopitia
Ila ungesema ni wewe tu unayepitia hiyo changamoto kungekuwa na ubaya?
kwa kweli ni shida. Tena wana tabia ya kuajiri wakenya wasio na vibali hawawalipi wakileta kibesi wanawatishia kuwachoma uhamiaji.ndio kitu tunajadiliana hapa unaishije nahana kaz nyingine anategemea hapohapo huu s unyonyaji huu? walimu wapewe maua yao tena mtu unamuuliza kwa hiyo unafanysje anajibu ndio changamoto za kazi kama amelogwa
Mwambie aachane na hiyo kazi akatafute sehemu nyingineanajipa matumaini ni changamoto tu kazni
JF kwa ujuaji na mawazo ya kimasikini sasa, angesema huyo rafiki yake ni manager wa taasisi fulani ungecomment kulingana na maelezo yake, crap..Pole sana kwa unayopitia
Ila ungesema ni wewe tu unayepitia hiyo changamoto kungekuwa na ubaya?
Mkuu wanakuambia kwenye ulimwengu wa kibepari ili utajirike, ni lazima uvunje sheria na udhulumu haki, usipokuwa na moyo wa kufanya hayo bila woga sahau kuhusu kuwa tajiriHawa matajiri weny biashara waone tu kweny media wakijinasibu wana pesa , wafanyakazi wao wanapata tabu sana licha ya mishahara kiduchu ila hawana uhakika wa kupata kabisa.
Wengi wanapenda ajira za serikali hata awe anapata laki 4 ila uhakika .
Mtu anaweza kukueleza kwamba hajalipwa miezi 4 ukaona kama utani ila ni kweli kwa ground mambo hayo yapo kwa sana