Hahahah, huo bado ni utapeli wa Voda, you know why?, wakati mtoaji pesa wa Ipilinya anatoa pesa kwa wakala aliye Namanga hiyo system ilikuwa imechanganyikiwa hadi ikaruhusu huo muamala wakati hauruhusiwi?!! Hahahahahah. Unajua wateja wengine ni waongo, anakwambia simu ninayo mimi, anakutajia hadi jina na kiasi alichotoa, kumbe aliyetoa yupo nanjilinji huko, sasa hiyo kazi ya kuomba wateja simu zao ili wazikague kama ndio yenyewe aliyetoa na si mtu wa mkoa mwingine ni ngumu sana!!!! Huu ni utapeli, mtu katoa pesa hapaswi kurudishiwa bila kumtaarifu wakala, hata kama yupo mwezini huyo aliyetoa!!!!