Kilichofanyika ni yule wakala kuwapigia simu Wenyewe ( Mpesa, Tigopesa et al ) na kuwaambia kwamba alikosea muamala.Sio kweli.
Kutoa kwa wakala hakuna cancellation, cancellation ni kwa kumtumia mtu kimakosa na sio kutoa kwa wakala.
Rafiki yako amekudanganya.
Yeah, hivyo ndivyo inapaswa kuwa, hata kama aliyetoa yupo Sayari ya Mars, lazima wajiridhishe!!!!Ela ukishatoa kupitia code ya wakala ukiwapigia voda wa cancel au umekosea lazima voda wa mpigie wakala mwenyewe code husika Ku hakiki then ndio wanarudsha mi ni wakala kuna jamaa alikosea akatoa kwangu na ayupo hapo akawapigia voda na voda wakapga kwangu kuhakiki kama ni kweli kakosea au anafanya ujanja
Mimi ni wakala mwaka wa kumi sasa,,,hii kitu hakuna mzee,,ipo hivi makampuni ya Simu yanamlinda wakala kwa 100%Habari zenu wote humu ndani?
Kisa kipo hivi Rafiki angu anasimulia kwamba alikuja jamaa kibandani kwake akasema kwamba kuna mtu wake anataka kumtumia hela ila hana simu ila ana namba ya jamaa kichwani, na pia ni namba ya voda.
Rafiki angu huyo akamwambia chukua namba yangu hii ya Wakala (zile code zao za kuweka na kutoa) mtumie huyo ndugu yako na jina ninalotumia hapa ili atume hapo jamaa, "sawa"
Kawasiliana kupitia simu ya rafiki angu hiyo ya Uwakala karudisha kamwambia atatuma chap, mara mlio wa sms kwenye simu ya Rafiki yangu" umepokea laki moja na tisini, kaihakikisha kila kitu jina na namba na salio limeongezeka kweli, katoa hela kampa jamaa huyo kasepa,
Kimbembe kinakuja kesho kaweka kama laki moja hivi ya flot ila akashangaa imekatwa, kupiga makao makuu na kuwaelezea imekuwaje? Wanasema kwamba kuna mtu alituma hela kwenye namba yako ila ali cancel muamala kwenye menu ya M-pesa ndo tumeirudisha kwake baada ya masaa 24 rafiki aaah[emoji15] ndo kawaelezea kila kitu jinsi ilivyokuwa ila mpaka leo Ni majibu yao ni subiri subiri tatizo tunashughulikia,
Na rafiki anakatwa mshahara kidogo kidogo na mwajili wake mwenye kibanda.
Swali!: Je, ata kwenye Code za wakala mtu anaweza tuma pesa harafu akaizuia huku wakala asijue wala kuletewa sms kwamba muamala umezuiwa kutoka namba flani ili kuepuka uhuni wa namna hii?
Kweli kabisaMimi ni wakala mwaka wa kumi sasa,,,hii kitu hakuna mzee,,ipo hivi makampuni ya Simu yanamlinda wakala kwa 100%
Inapotokea mteja kafanya muamala kimakosa wa kiwango hata cha 1,000 akapiga simu kuwa kakosea mtandao huwa wanakupigia simu kukuuliza watakueleza mteja flani anasema katoa pesa kwako kimakosa sh kadhaa Je ulimuhudumia ukisema ndio wanarudi kumpigia mteja na kumshauri aende Polisi,,kama hukumuhudumia ndo wanairudisha tena kwa sasa hivi mfano Voda wewe wakala ndo unapiga menu yao unairudisha mwenyewe....Haijawahi tokea Hela itoke kwa wakala kimakosa irudi bila wakala kuthibitisha
Story ya kutunga hii wambane huyo dogo aeleze alichofanya
Ulichoongea ni sawa lakn siku hz utaratib umebadilika, wanarudisha miamala ya Wateja bila hata kukupigiaMimi ni wakala mwaka wa kumi sasa,,,hii kitu hakuna mzee,,ipo hivi makampuni ya Simu yanamlinda wakala kwa 100%
Inapotokea mteja kafanya muamala kimakosa wa kiwango hata cha 1,000 akapiga simu kuwa kakosea mtandao huwa wanakupigia simu kukuuliza watakueleza mteja flani anasema katoa pesa kwako kimakosa sh kadhaa Je ulimuhudumia ukisema ndio wanarudi kumpigia mteja na kumshauri aende Polisi,,kama hukumuhudumia ndo wanairudisha tena kwa sasa hivi mfano Voda wewe wakala ndo unapiga menu yao unairudisha mwenyewe....Haijawahi tokea Hela itoke kwa wakala kimakosa irudi bila wakala kuthibitisha
Story ya kutunga hii wambane huyo dogo aeleze alichofanya
Sio kweli mzee aipo iyo kwa wakala lazima wakupigieUlichoongea ni sawa lakn siku hz utaratib umebadilika, wanarudisha miamala ya Wateja bila hata kukupigia
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Hapa pesa haijatumwa bali imetolewa kwa wakala ila aliyeitoa hakuwepo hapo physically,mfano rahisi ni wewe upo Mwanza nduguyo wa Dar anakutumia namba ya wakala wa Dar ili umtumie pesa direct km vile unaitoa,ile pesa ikiingia wakala anakupa baada ya wewe kuondoka ndg yako anapiga simu Voda kulalamika kwamba amekosea namba ya Wakala wakati anatoa Pesa wao wanapo angalia locations zao wanakuta kweli yeye yuko Mwanza na wakala aliyetumiwa pesa ya kutoa yuko Dar, basi ndani ya saa 24 wanarudisha hiyo pesa kutoka kwenye account ya Wakala na utapeli unakuwa umekamilika.Transaction za mbali kivipi? Wakati pesa inaweza kutumwa kutoka eneo lolote. Mimi niko Dar, anayenitumia pesa yuko Mara labda, nikaomba code ya wakala aliyeko Dar. Hapo tatizo nn, mpk useme transaction za mbali?
Wakala analindwa kuliko unavoandika hapa,,Mimi nina uzoefu ndo kazi yangu,,hela inapotelewa kimakosa voda wanapokwambia subiri masaa 72 ni kwamba wanafanya mawasiliano na wakala,,kwanza watapiga simu wakala usipopokea watakutumia sms kukuelekeza kuna muamala umeripotiwa kama kweli hujumuhudumia mteja kwa zamani ilikuwa wanarudisha wenyewe ila kwa sasa hivi Watakwambia wakala kama ni Mpesa upige menu ya mpesa utachagua namba sita MIAMALA ILIYOTOLEWA KIMAKOSA UTAINGIZA RISITI NAMBA utasibitisha hela itarudi na kama wakala utasema nilimuhudumia mteja hata kama hukumuhudumia kinachofata ni watamwambia mteja achukue hatua za kisheria aende polisi na Voda watatoa ushirikiano wa kuwapa location ulipo,,,mfano katika kazi yangu hii imeshanitokea mara kadhaa jamaa wanatoa kimakosa hata siwajui na napigiwa nawapa ushirikiano wanarudisha,,kuna siku kuna jamaa alitoa kiasi kama 260k akaondoka kesho yake nikakuta mised call ya huduma kwa wateja mara wakatuma sms nipokee simu kwa ajili ya kutoa ushirikiano wa muamala ulotolewa kimakosa,,walivopiga kupokea wakaniuliza na uzuri nilikuwa nakumbuka nikawaambia nimemuhudumia wakashukuru kwa ushirikiano na wakanambia watampigia na kumtumia sms ya Onyo.....Hapa pesa haijatumwa bali imetolewa kwa wakala ila aliyeitoa hakuwepo hapo physically,mfano rahisi ni wewe upo Mwanza nduguyo wa Dar anakutumia namba ya wakala wa Dar ili umtumie pesa direct km vile unaitoa,ile pesa ikiingia wakala anakupa baada ya wewe kuondoka ndg yako anapiga simu Voda kulalamika kwamba amekosea namba ya Wakala wakati anatoa Pesa wao wanapo angalia locations zao wanakuta kweli yeye yuko Mwanza na wakala aliyetumiwa pesa ya kutoa yuko Dar, basi ndani ya saa 24 wanarudisha hiyo pesa kutoka kwenye account ya Wakala na utapeli unakuwa umekamilika.
Jamaa yupo sahihi ni kwamba mtu anapotoa pesa wakala ahakikishe yule mtu ndiye yeye aliyopo mbele yake ikiwezekana akague msg ya mhusika na kudai kitambulisho.ni hivi wakati ukiwa unatoa pesa kwa wakala minara inatakiwa isome sehem moja ili mhusika akitaka kucancel ashindwe.ndio maana mawakala wazoefu hawakupi code umtumie mtu mwingine aliye mbali na biashara yake labda awe anakujuaUnapotuma pesa kwa code ya wakala maana yake ni kwamba pesa umeitoa, na si kwamba umetuma, hivyo huwezi kurudishiwa pesa amabyo umeshachukua cash physically, hiyo haiwezekani, waliofanya huo utapeli ni hao hao voda, otherwise hata mimi si naweza kwenda kwenye kibamda chochote, nikatoa hela napewa cash then nasepa na kucancel muamala, matapeli ni hao voda, akomae nao.
Hiyo kazi ya kukagua simu ya kila mteja ni impractical, ni kwanini voda wasipige simu kwa wakala kuiliza? Huo ni utapeliJamaa yupo sahihi ni kwamba mtu anapotoa pesa wakala ahakikishe yule mtu ndiye yeye aliyopo mbele yake ikiwezekana akague msg ya mhusika na kudai kitambulisho.ni hivi wakati ukiwa unatoa pesa kwa wakala minara inatakiwa isome sehem moja ili mhusika akitaka kucancel ashindwe.ndio maana mawakala wazoefu hawakupi code umtumie mtu mwingine aliye mbali na biashara yake labda awe anakujua
Hakuna uzembe mtoa mada kadanganywa nae kakubali, muamala ukirudishwa yule aliyerudishiwa hawezi kuutoa hadi wakala apigiwe kuhakikisha, pili walishaambiwa anaetoa na kuwekewa pesa lazima awe dukani,Hapo voda ndio wenye makosa
Hata kama mkoa tofauti hela ikirudi kwa mteja lazima wakala apigiwe simu kwanza,siku zote tafrani kama hiyo ikitokea kinachoangaliwa hapo ni location
jamaa alifanya kosa kumpa code mtu aliyeko mbali na ofisi yake atoe pesa, kwasababu huyo mtu akipiga simu kuisitisha hiyo pesa basi wahudumu kwa wateja ni rahisi kuizuia pasipo hata kufanya mawasiliano na wewe uliye pokea kwakua distance inaonesha huyo mteja hakua ofisin kwako probably ni mkoa tofauti na wako
..Hakika Parefu! Na January hoi...!!!190,000/= Parefu sana!! Mpe pole.
nadhani inawezekana, washakuja kutoa mwongozo.
Ni kweli mkuu utapeli utaendelea kama voda na mitandao mingine haijafanya hatua ya kuthibiti mianya ya udukuzi.Kiukweli inatakiwa voda waweke mfumo wa kutoruhusu miamala ya mbali automatically ili kuwalinda mawakala.
Otherwise tutaendelea kupigwa.
Wakala analindwa kuliko unavoandika hapa,,Mimi nina uzoefu ndo kazi yangu,,hela inapotelewa kimakosa voda wanapokwambia subiri masaa 72 ni kwamba wanafanya mawasiliano na wakala,,kwanza watapiga simu wakala usipopokea watakutumia sms kukuelekeza kuna muamala umeripotiwa kama kweli hujumuhudumia mteja kwa zamani ilikuwa wanarudisha wenyewe ila kwa sasa hivi Watakwambia wakala kama ni Mpesa upige menu ya mpesa utachagua namba sita MIAMALA ILIYOTOLEWA KIMAKOSA UTAINGIZA RISITI NAMBA utasibitisha hela itarudi na kama wakala utasema nilimuhudumia mteja hata kama hukumuhudumia kinachofata ni watamwambia mteja achukue hatua za kisheria aende polisi na Voda watatoa ushirikiano wa kuwapa location ulipo,,,mfano katika kazi yangu hii imeshanitokea mara kadhaa jamaa wanatoa kimakosa hata siwajui na napigiwa nawapa ushirikiano wanarudisha,,kuna siku kuna jamaa alitoa kiasi kama 260k akaondoka kesho yake nikakuta mised call ya huduma kwa wateja mara wakatuma sms nipokee simu kwa ajili ya kutoa ushirikiano wa muamala ulotolewa kimakosa,,walivopiga kupokea wakaniuliza na uzuri nilikuwa nakumbuka nikawaambia nimemuhudumia wakashukuru kwa ushirikiano na wakanambia watampigia na kumtumia sms ya Onyo.....
NIHITIMISHE kwa Kusema
Hakuna uwezekano wa mteja kurudishiaa fedha bila wakala kuthibitisha
Mimi ni wakala mwaka wa kumi sasa,,,hii kitu hakuna mzee,,ipo hivi makampuni ya Simu yanamlinda wakala kwa 100%
Inapotokea mteja kafanya muamala kimakosa wa kiwango hata cha 1,000 akapiga simu kuwa kakosea mtandao huwa wanakupigia simu kukuuliza watakueleza mteja flani anasema katoa pesa kwako kimakosa sh kadhaa Je ulimuhudumia ukisema ndio wanarudi kumpigia mteja na kumshauri aende Polisi,,kama hukumuhudumia ndo wanairudisha tena kwa sasa hivi mfano Voda wewe wakala ndo unapiga menu yao unairudisha mwenyewe....Haijawahi tokea Hela itoke kwa wakala kimakosa irudi bila wakala kuthibitisha
Story ya kutunga hii wambane huyo dogo aeleze alichofanya
Umemaliza mkuu na huo ndo ukweli wenyewesiku zote tafrani kama hiyo ikitokea kinachoangaliwa hapo ni location
jamaa alifanya kosa kumpa code mtu aliyeko mbali na ofisi yake atoe pesa, kwasababu huyo mtu akipiga simu kuisitisha hiyo pesa basi wahudumu kwa wateja ni rahisi kuizuia pasipo hata kufanya mawasiliano na wewe uliye pokea kwakua distance inaonesha huyo mteja hakua ofisin kwako probably ni mkoa tofauti na wako