Achukue huu ushauri wako utamsaidia.Anza na wewe kulia lia, mshahara ukitoka tu kabla hata hajakufuata wahi wewe kuanza kulalamika kwa kumwambia mshahara wako wote umeenda kwenye installment ya kiwanja chako au mzee wako amekuomba hela ya dharura, danganya kivyovyote vile ili mradi tu aone hauna hela.
Inabidi pia ujifunze kukataa bila kutoa maelezo marefu, kwa sababu the more you explain, the more he finds loopholes. Ukimwambia, sina hela, nimeitumia kwenye mambo yangu, na yeye akakuuliza, kwani unapeleka wapi siku hizi na huna mtoto? Mjibu tu kifupi kuwa kila mtu ana mipango yake mzee na wewe yako inahitaji pesa kama yake.
Usijitetee wala usionee aibu jasho lako Mzee!
Inaonekana jamaa ni mpole.😀😀😀😀Acha upuuzi,kataa mazoea
Inaonekana jamaa ni mpole.😀😀😀😀
Sijasimulia ndugu yangu. Nimeomba ushauri tuSio kila jambo ni kusimulia mtandaoni mengine yabakie kuwa siri
Eti kisa hana mtoto.😳🤣🤣🤣🤣🤣Anajuaje kama huna majukumu?
Sasa ndio ukuombe hela kila mwisho wa mwezi.😳😳😳😳Rafiki yangu tumetoka naye mbali
Mkuu hakuna masnitch dunia hii kama hao "marafiki mliotoka mbali", muda hutoa funzo zuri sana, usiendekeze marafiki. Pesa ni maua kuna muda huchanua na kukauka, zikikauka ndio utajua hii dunia haina marafikiRafiki yangu tumetoka naye mbali
Mtu unajiita kamikaze halafu una roho nyepesi hivyo.Nina Mtu ninayeweza kumuita ni rafiki yangu, lakini natamani kwa sasa hata kupunguza urafiki naye kwani ni kama anakua kero. Yeye ana mtoto japo hana ndoa, mimi sina mtoto wala ndoa pia. Tunafanya kazi yenye kipato cha kati, mimi nimeridhika na hali yangu kiuchumi kwa kweli. Na ninajitosheleza kujihudumia, Ku save na kufanya mengine kama kujitoa out. Sasa amekua akiniomba hela Mara nyingi sana. Yani mshahara tu ukitoka ananikaba. Na nikisema sina anasema ‘unapeleka wapi mshahara wako wakati huna mtoto wala mtu yoyote anayekutegemea’ ? Ananichukulia kama mchoyo kwake. Jamani nisaidieni wana Jf maana sasa rafiki yangu anakua kero.
Hakunaga urafiki wa kupeana hela kwa shughuli nje ya rambirambi na sherehe za harusi au send offNina Mtu ninayeweza kumuita ni rafiki yangu, lakini natamani kwa sasa hata kupunguza urafiki naye kwani ni kama anakua kero. Yeye ana mtoto japo hana ndoa, mimi sina mtoto wala ndoa pia. Tunafanya kazi yenye kipato cha kati, mimi nimeridhika na hali yangu kiuchumi kwa kweli. Na ninajitosheleza kujihudumia, Ku save na kufanya mengine kama kujitoa out. Sasa amekua akiniomba hela Mara nyingi sana. Yani mshahara tu ukitoka ananikaba. Na nikisema sina anasema ‘unapeleka wapi mshahara wako wakati huna mtoto wala mtu yoyote anayekutegemea’ ? Ananichukulia kama mchoyo kwake. Jamani nisaidieni wana Jf maana sasa rafiki yangu anakua kero.