Rafiki yangu wa kike ameniletea zawadi ya shati na tai hii ina maana gani?

Wewe shati na tai tu? Mi ananikaribisha mpaka kwao kwa wazazi kwenda kula. Huwa namwambia hapana!
 
Ina maana uanze kuvaa suruali uachane na vipensi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…