Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Wanawake ni kuwa nao makini tu mkuu, kuoa ni jambo jema sana sema wengi wanakurupuka .
Sio kila mwanamke ni wa kuoa ni wachache sana wengi ni kwa ajili ya starehe tu.. ukiwa makini utajua yupi wa kuoa na yupi wa starehe.

Me nina jamaa yangu nae kakurupuka nilimuonya sana hakusikia tukataka kugombana, nikasema kwann tugombane kisa kukushauri tu nikapiga chini sasa ndoa ina mwaka tu jamaa kila siku anakuja na malalamiko kibao na mimi nilivo jeuri huwa napotezea hizo story sitaki kabisa.

Jamaa kakonda stress kibao yaani kabdilika kabisa
 
Kinachokizamisha sio kuanguka mtoni, ila kushsindwa(kutojua) kupiga mbizi..

Kilichomfelisha mwana sio kuoa, ila alifeli wa kumuoa, hapo ndio kwenye msingi haswa wa ndoa..

Kwa mwanaume timamu haswa ndoa ni jambo la muhimu haina mjadala, shida ni kumpata mtu sahihi, mwamba inawezekana alichukua kigezo sicho.. Kuna wanawake wa aina mbili...

Wapo hao kwa ajili ya kuburuzwa tu, usithubutu kuoa huyo kenge.. Ukibugi step mzee umeula wa chuya
Halafu wapo hawa nnai wa ndoa tu, mzee ukibahatika hapa umetusua.

Koote turuke ruke, ila ukifika wakat wa kuoa, hapa tuliza akili zaidi ya messi akiliona lango.


Hii ni kotte kote kwa ME na KE.


Namsikitikia mshikaji na watoto.. Ika huyyuu mwanamke karma itammemena.
 
Hii ni nzuri sanaa...

#YNWA
 
Nyie mnaoa vilaza sio wanawake wanaojitambua wanaolea na kutunza familia basi tuwafanyaje ?kuoa mrembo si mbaya ila awe anaakili unaoa zuzu halafh ukifa roho zenu zinakuja kutoa post.
Shauri zenu
 
Ila wewe jamaa, kwani kila ndoa Ina ugomvi? Jinsi ambavyo unaona baadhi ya ndoa Zina mifarakano, ujue Kuna ndoa nyingi Zina amani.
Changamoto na mifarakano ipo Ila inatatulika furaha inaendelea.
Vuta mke bwana, Zile hela za vx75 unazila na Nani?
 
Naona kama umefurahia anguko la mwenzio umeleta story kwa bashasha zote.........!!!
 
Ila nimegundua kitu ambacho unacho moyoni mwako.

Hivi kwa kawaida tu hayo makombora uliyoyapata dakika kadhaa hapo juu bado unafuraha moyoni tena ya makopa kopa!

Hivi we mwanamke kweli au robot Sophia?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…