Rafiki zangu wananishangaa kwa nini sivai nguo ya ndani

Rafiki zangu wananishangaa kwa nini sivai nguo ya ndani

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,414
Nina baadhi ya marafiki hunishangaa sana eti kwanini sivai nguo ya ndani kama wengine.

Mimi huwajibu kirahisi kabisa ,kuwa Mimi ni MTU huru kwa hiyo siwezi kuvaa ,MTU ukiwa uko huru ni lazima uwe Uhuru kwelikweli siyo wakuigiza najisikia Uhuru zaidi nikiwa sijavaa.
 
Sorry mkuu, Wewe ni ME au KE??
Nina baadhi ya marafiki hunishangaa sana eti kwanini sivai nguo ya ndani ama chupi kama wengine mnavyoziita.

Mimi huwajibu kirahisi kabisa ,kuwa Mimi ni MTU huru kwa hiyo siwezi kuvaa chupi,MTU ukiwa uko huru ni lazima uwe Uhuru kwelikweli siyo wakuigiza najisikia Uhuru zaidi nikiwa sijavaa chupi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nahisi unao marafiki ambao wanavaa viatu bila soks na unawajua,so MTU akiwa hajavaa chupi hata akikaa utajua tu

Sent using Jamii Forums mobile app

You are trying to come out.

Kuwa wazi mkuu, acha kujificha ficha kwenye kuvaa nguo za ndani.

Binafsi nimeshaelewa ujumbe unaojaribu kuufikisha.
 
Nina baadhi ya marafiki hunishangaa sana eti kwanini sivai nguo ya ndani ama chupi kama wengine mnavyoziita.

Mimi huwajibu kirahisi kabisa ,kuwa Mimi ni MTU huru kwa hiyo siwezi kuvaa chupi,MTU ukiwa uko huru ni lazima uwe Uhuru kwelikweli siyo wakuigiza najisikia Uhuru zaidi nikiwa sijavaa chupi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamejuaje kuwa huvai? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom