Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujambo kabisa rafiki. Nikutakie siku njemaKwakweli rafiki yangu Mama D
Natumaini D na baba yake wote hawajambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeWanaume wenzio wamejuaje kwamba huvai chupi? Mnakuaga mnafanya nini mpaka waone huna chupi?
Si ajabu kuna biashara haramu unafanya nao
[emoji23] [emoji23]Aisee bila Shaka wakubwa wanakufaidi
😂😂Wanaume wenzio wamejuaje kwamba huvai chupi? Mnakuaga mnafanya nini mpaka waone huna chupi?
Si ajabu kuna biashara haramu unafanya nao
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Nina baadhi ya marafiki hunishangaa sana eti kwanini sivai nguo ya ndani kama wengine.
Mimi huwajibu kirahisi kabisa ,kuwa Mimi ni MTU huru kwa hiyo siwezi kuvaa ,MTU ukiwa uko huru ni lazima uwe Uhuru kwelikweli siyo wakuigiza najisikia Uhuru zaidi nikiwa sijavaa.