Nina baadhi ya marafiki hunishangaa sana eti kwanini sivai nguo ya ndani ama chupi kama wengine mnavyoziita.
Mimi huwajibu kirahisi kabisa ,kuwa Mimi ni MTU huru kwa hiyo siwezi kuvaa chupi,MTU ukiwa uko huru ni lazima uwe Uhuru kwelikweli siyo wakuigiza najisikia Uhuru zaidi nikiwa sijavaa chupi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nahisi unao marafiki ambao wanavaa viatu bila soks na unawajua,so MTU akiwa hajavaa chupi hata akikaa utajua tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamejuaje kuwa huvai? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]Nina baadhi ya marafiki hunishangaa sana eti kwanini sivai nguo ya ndani ama chupi kama wengine mnavyoziita.
Mimi huwajibu kirahisi kabisa ,kuwa Mimi ni MTU huru kwa hiyo siwezi kuvaa chupi,MTU ukiwa uko huru ni lazima uwe Uhuru kwelikweli siyo wakuigiza najisikia Uhuru zaidi nikiwa sijavaa chupi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha yanakua yanataka kupunga upepoDaah!! 🤔🤔
Ushauri wangu tu uwage makini katika kujipatia huo uhuru wako mana kuna nguo ukivaa hasa pensi halafu ukaenda kukaa sehemu bila tahadhari basi huwa yale mazaga zaga hayakawii kuchungulia nje.
Hahahaa. Hivyo yanakamilisha uhuru autakao mleta uzi. Si eti?Haha yanakua yanataka kupunga upepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wenzio wamejuaje kwamba huvai chupi? Mnakuaga mnafanya nini mpaka waone huna chupi?
Si ajabu kuna biashara haramu unafanya nao
Hii sperm ndo ile wanayoisema ilishinda marathon ikaibuka champion kwa kuwapita sperms wengne wote,KaWhat a Wastage of sperms....??
Mungu twakuomba unusuru kizazi hiki....
Kweli kabisa... au huyu mzazi angetumia tu condom ili hii sperm ikaliwe na mendeHii sperm ndo ile wanayoisema ilishinda marathon ikaibuka champion kwa kuwapita sperms wengne wote,Ka
Haikua fair bora hata angeiacha sperm inayofuata ishinde pengine kizazi hiki kisingekuwepo