Rafiki zangu wananishangaa kwa nini sivai nguo ya ndani

Dah Kwel Mungu hana upendeleo yaani kamuacha huyu kiatu ana vuta pumzi ya bure tu wakati kuna watu walikuwa wa muhimu duniani washavuta.
 
MKUU TANGU LINI mwanamme AKIWA NA BUSHA akavaa CHUPI? MASHATI MAREFU UNAYOVAA YANATOSHA KABISA KUFICHA BUSHA ULILONALO.. sio ajabu MKUU kutovaa Chupi..ni KAWAIDA KWA HALI YAKO uliyonayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila picha huu ni utapeli tu kama utapeli mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hilo suala lako binafsi unalileta huku, kwa kweli hata humu naona wameshangaa, inaonekana una katabia kama ka rafiki yangu mmoja sema yeye anavaa chupi/boxer, yani anapenda kujishika maeneo ya kende zake na kunusa anasema anaipenda harufu anayoitoa😃😃😃.Naskia ni kaugonjwa ka kisaikolojia.
Tuanzia hapo kwenye "mtu huru" yani hautaki kubanwa, tufafanulie juu ya uhuru unaopata kwa kutovaa nguo ya ndani,je huwa unapenda kufanya nini ukiwa idle na hauna nguo ya ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…