Rafu Ya Inonga kwa Sure boy imenyamaziwa?

Tulitegemea kusikia adhabu kali kwa mchezo mbaya na wa hatari kwa rafu aliochezewa Sure boy siku ya Derby na Mlinzi wa Simba Inonga

Je,tafsiri ni nini?

Hawa bodi ya ligi ina maana hawakutazama mchezo ule?

Ile rafu mbaya vipi kama ule mguu ungekipata kichwa cha Sure boy si ingekua madhara makubwa au kifo?

Wachezaji wengi walishaadhibiwa kwa makosa ya namna ile pindi adhabu ya ndani ilipokuwa ni ndogo kulinganisha na kosa.

Miongoni mwa wachezaji waliohukumiwa kwa style hiyo ni Djuma shaban yeye alifungiwa michezo mitatunafikiri.

Sasa ninikinatokea huyu Inonga anafumbiwa macho?

Hii inaleta picha gani?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mnajisumbua bure nyie Utopolo, ni maagizo kutoka juu kuukiza wachezaji wenu!
 
Msimu uliopita mlihonga wachezaji wa timu zilizokutana na Simba ili watuumizie wachezaji wetu,mmoja wa wahanga wa udhalimu wenu huu ni Sakho. Kwenye fainali ya kombe la Azam kule Kigoma Miquisonne alifanyiwa unyama wa hali ya juu anapigwa buti na mchezaji mmoja anaruka mchezaji mwingine wa Yanga anamrukia tena yaani mlitaka kumuua mmakonde wa watu lakini tulikausha kwani wakosaji waliadhibiwa uwanjani. Wacheni malalamiko ya kipuuzi.
 
Inaonyesha wewe ni mmojawapo wa.......

Tulitegemea kusikia adhabu kali kwa mchezo mbaya na wa hatari kwa rafu aliochezewa Sure boy siku ya Derby na Mlinzi wa Simba Inonga

Je,tafsiri ni nini?

Hawa bodi ya ligi ina maana hawakutazama mchezo ule?

Ile rafu mbaya vipi kama ule mguu ungekipata kichwa cha Sure boy si ingekua madhara makubwa au kifo?

Wachezaji wengi walishaadhibiwa kwa makosa ya namna ile pindi adhabu ya ndani ilipokuwa ni ndogo kulinganisha na kosa.

Miongoni mwa wachezaji waliohukumiwa kwa style hiyo ni Djuma shaban yeye alifungiwa michezo mitatunafikiri.

Sasa ninikinatokea huyu Inonga anafumbiwa macho?

Hii inaleta picha gani?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mnafiki mkubwa Wewe ile Rafu mbaya aliyoicheza Djuma Shabaan kwa Bernard Morrison katika Derby ya mwaka jana inayofanana na hii ya Inonga ilipatiwa Ufumbuzi au ulijitokeza kama hivi Kuikemea ukiwa kama mwana Yanga SC?
 
Inaonyesha wewe ni mmojawapo wa.......

Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko kwenu Yanga
 
Kweli kabisa niletee thread yangu hata moja niliyoweka post ya kuomba ajira hapa jf mimi ndo naajiri watu kama nyie ambao hamna kazi mnaenda airport kupokea wageni ila huu ni utani we unachukulia serious kama watu wangekuwa serious basi yule nguruwe pori angekuwa yupo jela.
Sioni kwanini Umehamaki hivi Ndugu kisa tu Jamaa kakuambia kuwa huna Ajira. Hata kama ni kweli kwani usiyekuwa nayo Tanzania nzima ni Wewe tu pekee? Umenishangaza kidogo.
 
Mnafiki mkubwa Wewe ile Rafu mbaya aliyoicheza Djuma Shabaan kwa Bernard Morrison katika Derby ya mwaka jana inayofanana na hii ya Inonga ilipatiwa Ufumbuzi au ulijitokeza kama hivi Kuikemea ukiwa kama mwana Yanga SC?
Hii mijitu ya ovyo sana kuwahi kutokea duniani
 
Twendeni taratibu kule arusha mlipiga mtu mpaka akapoteza uhai mlipewa adhabu gani iwe faini au onyo yaani kwa mlichokifanya arusha kama ni ulaya ilikuwa msimu mzima mucheze mechi bila mashabiki ila kwasababu mshazoea kulalamika karia kaamua apotezee maana angewapa adhabu mngekuja kulia lia utopolo fc aka vinyesi fc.
Huna ushahidi wowote ule wa hiyo taarifa ya kupigwa mtu mpaka kuuwawa.

Na kama ingetokea hivyo, basi weka hapa taarifa iliyothibitishwa na jeshi la polisi. Maana unataka kuleta upotoshaji wa wazi kabisa. Hakuna mtu aliye na mamlaka ya kumuua mtu mwingine ndani ya nchi yetu.

Hiyo video yenyewe ilionesha huyo shabiki mwenzenu akisukumwa kwenda upande anaotakiwa kukaa! Hakuna sehemu ikiyoonesha akiuwawa.
 
Msimu uliopita mlihonga wachezaji wa timu zilizokutana na Simba ili watuumizie wachezaji wetu,mmoja wa wahanga wa udhalimu wenu huu ni Sakho. Kwenye fainali ya kombe la Azam kule Kigoma Miquisonne alifanyiwa unyama wa hali ya juu anapigwa buti na mchezaji mmoja anaruka mchezaji mwingine wa Yanga anamrukia tena yaani mlitaka kumuua mmakonde wa watu lakini tulikausha kwani wakosaji waliadhibiwa uwanjani. Wacheni malalamiko ya kipuuzi.
Hii taarifa yako ya kuhonga wachezaji ili kucheza faulo, ni ya kufurahisha tu genge. Hakuna mchezaji mjinga kiasi hicho akubali kufanya huo upuuzi! Cha msingi tunatakiwa kuungana pamoja kukemea hii tabia mbaya ya kuhatarisha afya za wachezaji michezoni.

Hawa wachezaji ajira yao ni mpira! Akiumizwa kwa makusudi, tayari na familia yake inaathirika kwa namna moja au nyingine.

Wachezaji wahamasishwe kucheza fair play! Ndiyo maana hata Dickson Job pamoja Juma Shaban walipofungiwa kwa kucheza rafu mbaya uwanjani, binafsi niliona walistahili kuadhibiwa.

Hivyo wachezaji wote wasio na nidhamu mchezoni, wanatakiwa kuadhibiwa kwa usawa. Kusitokee ubaguzi wa kuchagua wachezaji wa kuadhibu.
 
Refa alishatoa adhabu, na hakukuwapo na ukiukwaji wa nidhamu wa Inonga.Kwa hayo mawili, Bodi haina jambo la kuongezea
Mbona haya huwa tunayaona sana kwa wenzetu walioendelea. Refa, aliliona tukio, akatoa adhabu. Kama angekuwa hajaliona, na haikuchukuliwa hatua yoyote, basi hapo TFF ingepaswa kuchukua hatua. Kwa tafsiri ya refarii, lile tukio, lilistahili kadi ya njano, ambayo aliitoa. Mengineyo, ni ushabiki tu wa siasa zetu za ki SIMBA na YANGA!
 
Acheni kulalamika nyie mashoga, hiki alichokicheza huyu mvuta bangi kwa BM kilikuwa ni mdundiko, acheni upuuzi wenu nyie
FB_IMG_1661238588294.jpg
 
Hii taarifa yako ya kuhonga wachezaji ili kucheza faulo, ni ya kufurahisha tu genge. Hakuna mchezaji mjinga kiasi hicho akubali kufanya huo upuuzi! Cha msingi tunatakiwa kuungana pamoja kukemea hii tabia mbaya ya kuhatarisha afya za wachezaji michezoni.

Hawa wachezaji ajira yao ni mpira! Akiumia kwa makusudi, tayari na familia yake inaathirika kwa namna moja au nyingine.

Wachezaji wahamasishwe kucheza fair play! Ndiyo maana hata Dickson Job pamoja Juma Shaban walipofungiwa kwa kucheza rafu mbaya uwanjani, binafsi niliona walistahili kuadhibiwa.

Hivyo wachezaji wote wasio na nidhamu mchezoni, wanatakiwa kuadhibiwa kwa usawa. Kusitokee ubaguzi wa kuchagua wachezaji wa kuadhibu.

Sawa.Lakini mbona wanapofanyiwa wa Simba au timu nyingine mnavaa miwani za mbao? Hizi double standards zenu ndiyo tunazikataa,mnaona wachezaji wenu ndiyo wana hadhi ya kutochezewa rafu lakini wao ni haki kuwachezea wengine rafu.
 
Refa alishatoa adhabu, na hakukuwapo na ukiukwaji wa nidhamu wa Inonga.Kwa hayo mawili, Bodi haina jambo la kuongezea
Inonga ni mpumbavu baada ya kufanya rafu mbaya akajilaza kuzuga kuwa na yeye kaumia na Refa ni wa Simba na TFF mali ya Karai wamemwacha tu ila ingekuwa rafu kafanya mchezaji wa Yanga ingetoka Red card kama alivyopewa Mukoko Kigoma!!

TFF ya Karai Makolo FC wote hamna watu pale Kanoute na Onyango marafu tupu hawajui mpira na hawaadhibiwi . Hongera kwa wachezaji wengi tayari wamemjua Kanoute siku hizi wanamlaza chini sana wanamkanyaga kisawasawa anakula viatu kwa kwenda mbele!

Huyu Kolo FC Karai hana faida timu ya taifa inafungwaje nyumbani na Algeria hata kusikia kauli yao TFF kumkemea Kim hakuna!!

Msimu ulioisha Simba iliongoza kwa kubebwa kupewa penati za mchongo, magoli mengi ya offside na timu zote walizocheza nazo kupewa Red cards za uonevu. TFF mjue wanayanga tunawachukia sana mnaua mpira wetu sababu Azam TV wanarusha Live mechi zote sote tunaona jinsi Simba inavyobebwa, ifike mahali msituoneshe mpira wenu mnaotaka Simba mbovu tu ishinde, shame on you TFF. Kuna wakati unajisikia kutapika kuangalia mechi za Simba kwa jinsi inavyopewa magoli mengi ya offside na penati za mchongo!
 
Haya kanywe maji utulie sasa baada ya kutoa povu la omo.
 
Acheni kulalamika nyie mashoga, hiki alichokicheza huyu mvuta bangi kwa BM kilikuwa ni mdundiko, acheni upuuzi wenu nyieView attachment 2333538
Tumia lugha ya kistaarabu kufikisha ujumbe wako. Huna sababu ya kuwaita watu usio wafahamu "mashoga" kisa umetofautiana nao mtazamo.

Huu ni ukosefu wa busara.
 
Sioni kwanini Umehamaki hivi Ndugu kisa tu Jamaa kakuambia kuwa huna Ajira. Hata kama ni kweli kwani usiyekuwa nayo Tanzania nzima ni Wewe tu pekee? Umenishangaza kidogo.
Usishangae mkuu humu jamii forum kila mtu ana ajira nzuri na gari ila ukienda jukwaa la ajira walikuwa wanaulizia hela ya sensa don't everything serious mtu yupo nyuma ya keyboard anakusumbuaje just relax .
 
Huna ushahidi wowote ule wa hiyo taarifa ya kupigwa mtu mpaka kuuwawa.

Na kama ingetokea hivyo, basi weka hapa taarifa iliyothibitishwa na jeshi la polisi. Maana unataka kuleta upotoshaji wa wazi kabisa. Hakuna mtu aliye na mamlaka ya kumuua mtu mwingine ndani ya nchi yetu.

Hiyo video yenyewe ilionesha huyo shabiki mwenzenu akisukumwa kwenda upande anaotakiwa kukaa! Hakuna sehemu ikiyoonesha akiuwawa.
Basi tufanye hajafa kwa hyo kumuelekeza mtu kwenda kukaa ndo mumshambulie hivi hamuwezi kukaaa kimya nyie kila kitu ni kulalamika mbona coastal union team ndo imefanyiwa unyama arusha ila imeamua kukaa kimya.
 
Back
Top Bottom