Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Sasa,umekutana au umemuona mtu mmoja au wawili wakicheka kuhusu Englebert ndiyo uwaite wengine mbumbumbu?Huo ndiyo ututusa wenyewe.Aliewapa jina mbumbumbu hakukosea na nashauri ajengewe sanamu pale Msimbazi au Bunju.
Haiwezekani mtu mwenye akili timamu ukawacheka TP Mazembe kupigwa 2 na waarabu wakati we mwenyewe timu yako ndio ilitia aibu ya mwaka kwa kupigwa 3 kavu nyumbani.
Aliewaita mbumbumbu hakukosea kwakweli.
Watu wanatoa jasho kutafuta CA ,alafu wahuni wachache wanapewa degree na phd kizembe zembe🤧🤧Aliewapa jina mbumbumbu hakukosea na nashauri ajengewe sanamu pale Msimbazi au Bunju.
Haiwezekani mtu mwenye akili timamu ukawacheka TP Mazembe kupigwa 2 na waarabu wakati we mwenyewe timu yako ndio ilitia aibu ya mwaka kwa kupigwa 3 kavu nyumbani.
Aliewaita mbumbumbu hakukosea kwakweli.
Huna akili wewe mbumbumbuKweli uto nyie MAUMBWA kama alivosema luc eymael sasa waliofurahi tp mazembe kufungwa kati YA WANYONYA VIJAMBIO FC NA SIMBA NI NANI?
SIMBA HAFURAHII MAZEMBE KUFUNGWA ILA KUFUNGWA KWA MAZEMBE KUNAZIDI KUTHIBITISHA KUWA MAZEMBE YA SASA NI SAWA NA MALIMAO FC.
LUCY EYMAEL APEWE ULINZI.
Ututusa ni kuchekelea tp mazembe kufungwa nyumbani wakati nyie ndio mmetia aibu kuu.Sasa,umekutana au umemuona mtu mmoja au wawili wakicheka kuhusu Englebert ndiyo uwaite wengine mbumbumbu?Huo ndiyo ututusa wenyewe.
Itapendeza kama ilo swali utamuuliza babako mzazi.Kwani uliwahi KUWA mpumbafu?
Wewe na huyo aliye pigwa mbili nyumbani mpo kwenye mashindano gani ?Aliewapa jina mbumbumbu hakukosea na nashauri ajengewe sanamu pale Msimbazi au Bunju.
Haiwezekani mtu mwenye akili timamu ukawacheka TP Mazembe kupigwa 2 na waarabu wakati we mwenyewe timu yako ndio ilitia aibu ya mwaka kwa kupigwa 3 kavu nyumbani.
Aliewaita mbumbumbu hakukosea kwakweli.
Ya kimataifaWewe na huyo aliye pigwa mbili nyumbani mpo kwenye mashindano gani ?
Mbumbumbu kwenye ubora wakoKabw.il nae unavituko sana tangu uache sampuli zako pale utopoloni unataka utuchafulie jf yetu na vinyesi vyako
yeye ametuita mbumbumbu mashabiki wa simba kwa kumnukuu Ismail Aden Rage na mimi nimewaita MBWA WANA UTO kwa kumnukuu LUC EYMAEL sasa kilichofanya yeye aniambie mimi sina akili ni nini?Matusi kea Wazazi yote ya nini ? mbona ukivyowaita utopwinyo "Mbwa" hawakurudisha kea wazazi wako ?
Ukishachagua kuwa mshabiki wa mpira jifunze kuthibiti hasira zako na ni ujinga wa hali ya juu na kukosa adabu mambo ya ushabiki na upuuzi wenu binafsi Kuhusisha wazazi.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuanzisha uzi wenye contents hizi. Yaani kabisa unafungua thread!?Aliewapa jina mbumbumbu hakukosea na nashauri ajengewe sanamu pale Msimbazi au Bunju. Haiwezekani mtu mwenye akili timamu ukawacheka TP Mazembe kupigwa 2 na waarabu wakati we mwenyewe timu yako ndio ilitia aibu ya mwaka kwa kupigwa 3 kavu nyumbani.
Unajua thamani ya Wazazi ? ni simple ungemjibu kwa kumshabulia yeye mwenyewe binafsi moja kwa moja kama ulivyojibu hapo mara ya kwanza kuliko kumjumlisha mtu ambaye hausiki unakuta mwengine tokea azaliwe hajawahi kumuona Mzazi wake halafu itokee mtu anakuja kumtukana na kumdhalilisha tena kwa kumsingizia uchafu "kahaba"yeye ametuita mbumbumbu mashabiki wa simba kwa kumnukuu Ismail Aden Rage na mimi nimewaita MBWA WANA UTO kwa kumnukuu LUC EYMAEL sasa kilichofanya yeye aniambie mimi sina akili ni nini?
NB: UNABUSARA ZA KINAFIKI.
Mkuu yeye ameanza mimi nikaamua kumaliza shida ipo wap?Unajua thamani ya Wazazi ? ni simple ungemjibu kwa kumshabulia yeye mwenyewe binafsi moja kwa moja kama ulivyojibu hapo mara ya kwanza kuliko kumjumlisha mtu ambaye hausiki unakuta mwengine tokea azaliwe hajawahi kumuona Mzazi wake halafu itokee mtu anakuja kumtukana na kumdhalilisha tena kwa kumsingizia uchafu "kahaba"