Rage apewe PhD ya heshima

Rage apewe PhD ya heshima

Mtu mwenye akili timamu hawezi kuanzisha uzi wenye contents hizi. Yaani kabisa unafungua thread!?
Na wewe umefungua thread na ukacoment kabsa kwenye thread ya mtu asiye na akili timamu.
 
Rage alishawalaani hao mbumbumbu, angalia kwanza mpira wanaocheza ni utumbo, kisha angalia timu waliyocheza nayo safu yao ya ushambuliaji ni majanga, wale vipers wangeongeza ufanisi kidogo tu kwenye eneo lao la mwisho vijana wa mangungu wasingepata alama ata moja pale uganda,
Hiyo laana ya Rage ndiyo imefanya kazi mwaka huu?! Kweli kukeketwa ni hatari kwa afya. Au kidonda kimefumuka?!
 
Rage alishawalaani hao mbumbumbu, angalia kwanza mpira wanaocheza ni utumbo, kisha angalia timu waliyocheza nayo safu yao ya ushambuliaji ni majanga, wale vipers wangeongeza ufanisi kidogo tu kwenye eneo lao la mwisho vijana wa mangungu wasingepata alama ata moja pale uganda,
Hayo mambo ya wange sjui wasinge...hayapo kwenye mpira . ..ok basi na nyie mngekuwa na beki mferu msigefungwa na bamako
 
Na wewe umefungua thread na ukacoment kabsa kwenye thread ya mtu asiye na akili timamu.
Wasio na akili timamu huwa tunawafundisha, wengine huwa wanatengamaa. Wapumbavu ndio huwa tunawaacha. Wewe walau upo kundi la wasio na akili timamu, tutakuelekeza na utakaa vizuri
 
Rage apewe PHD
 
Rage apewe PHD
sambamba na Luc Eymael, mzee wa manyani na mambwa! 🤣🤣 🤣

1677526862706.png
 
Back
Top Bottom