Rage apewe PhD ya heshima

Rage apewe PhD ya heshima

Aliewapa jina mbumbumbu hakukosea na nashauri ajengewe sanamu pale Msimbazi au Bunju.

Haiwezekani mtu mwenye akili timamu ukawacheka TP Mazembe kupigwa 2 na waarabu wakati we mwenyewe timu yako ndio ilitia aibu ya mwaka kwa kupigwa 3 kavu nyumbani.

Aliewaita mbumbumbu hakukosea kwakweli.
Naunga mkono hoja kwa 💯/=

Apewe tu kwa kweli. Maana ni kiongozi mwenye maono. Imagine kauli yake mpaka leo bado tu inaishi.
 
Unajua thamani ya Wazazi ? ni simple ungemjibu kwa kumshabulia yeye mwenyewe binafsi moja kwa moja kama ulivyojibu hapo mara ya kwanza kuliko kumjumlisha mtu ambaye hausiki unakuta mwengine tokea azaliwe hajawahi kumuona Mzazi wake halafu itokee mtu anakuja kumtukana na kumdhalilisha tena kwa kumsingizia uchafu "kahaba"
Kuna mjinga mmoja yupo kwenye hili jukwaa alinitukania mama yangu bila ya sababu za msingi!
Aisee angekuwa yuko mbele yangu, basi siku ile ningepewa kesi ya mauaji.

Imagine mama yangu ni mzee wa miaka 90! Anayesumbuliwa na maradhi kibao ya uzeeni! Mama aliyedumu katika ndoa kwa maisha yake yote mpaka pale mzee alipofariki! Halafu akamuita malaya, kahaba, na kila aina ya matusi!!

Haya mambo yanakera sana.
 
Aliewapa jina mbumbumbu hakukosea na nashauri ajengewe sanamu pale Msimbazi au Bunju.

Haiwezekani mtu mwenye akili timamu ukawacheka TP Mazembe kupigwa 2 na waarabu wakati we mwenyewe timu yako ndio ilitia aibu ya mwaka kwa kupigwa 3 kavu nyumbani.

Aliewaita mbumbumbu hakukosea kwakweli.ibu ya mwaka kwa Tz tu au Dunia nzima..? Maana Liverpool alipigwa 5 na bado haikutangazwa kama ni aibu ya mwa

Aliewapa jina mbumbumbu hakukosea na nashauri ajengewe sanamu pale Msimbazi au Bunju.

Haiwezekani mtu mwenye akili timamu ukawacheka TP Mazembe kupigwa 2 na waarabu wakati we mwenyewe timu yako ndio ilitia aibu ya mwaka kwa kupigwa 3 kavu nyumbani.

Aliewaita mbumbumbu hakukosea kwakweli.
Ni kweli huenda alikuwa sahihi..!!Lakini kusema kwamba ni aibu ya mwaka huenda huo ndo umbumbu zaidi au kuwa mvivu wa kufikiri..!!Maana hata Liverpool alifungwa 5 na haikuwa aibu ya mwaka..!!
 
Aden Rage alishawahi kutoa kauli kuhusu status ya akili za mashabiki wa timu ambayo kwa kipindi hicho alikua ni mwenyekiti wao. Kauli ambayo kila siku inazidi kuthibitishika alichokisema ni kweli.

Bahati mbaya jamii yetu haithamini watu wenye maono ya mbali kama huyu jamaa.

Kwa heshima kabisa naomba kuanzia sasa huyu mtu atambulike kama Dr. Aden Rage
 
Rage alifuta kauliyake ila Luc Eymael hajawahi kufuta kauli yake mpaka leo🤣🤣
 
Aden Rage alishawahi kutoa kauli kuhusu status ya akili za mashabiki wa timu ambayo kwa kipindi hicho alikua ni mwenyekiti wao. Kauli ambayo kila siku inazidi kuthibitishika alichokisema ni kweli.

Bahati mbaya jamii yetu haithamini watu wenye maono ya mbali kama huyu jamaa.

Kwa heshima kabisa naomba kuanzia sasa huyu mtu atambulike kama Dr. Aden Rage
Vipi kuhusu wenye akili kuwa wawili tu upande ule wewe umo au haumo?.
 
Naomba clip au video ya Luc Eymael ,halafu hiyo kauli alitioa baada ya kufurumushwa tofauti na Rage akiwa bado mwenyekiti wa klabu.
😆😆Luc eymael alitoa hiyo kauli akiwa bado ni mwajiriwa wa utoporooo...Rage alitoa kauli na kuitengua muda huo huo mkutano wa wanachama ukiendelea
 
Mfano wako ni irrelevant hauna mashiko kabisa ,kauli ya Manara alitioa akiwa Simba kupiga dingo kea hasimu wake Yanga tofauti na Rage ambayo itapewa uzito wa juu sababu alikuwa back ndani ya klabu.
Tena mwenyekiti
 
Back
Top Bottom