Rage apewe PhD ya heshima

Mtu mwenye akili timamu hawezi kuanzisha uzi wenye contents hizi. Yaani kabisa unafungua thread!?
Na wewe umefungua thread na ukacoment kabsa kwenye thread ya mtu asiye na akili timamu.
 
Hiyo laana ya Rage ndiyo imefanya kazi mwaka huu?! Kweli kukeketwa ni hatari kwa afya. Au kidonda kimefumuka?!
 
Hayo mambo ya wange sjui wasinge...hayapo kwenye mpira . ..ok basi na nyie mngekuwa na beki mferu msigefungwa na bamako
 
Huna akili wewe mbumbumbu
Tp mazembe kala 2
Simba kala 3
Wote wamefungwa nyumbani. Sasa niambie nani katia aibu hapo
Usichanganye mambo,nyie na wadogo wenzenu mko shirikisho usisahau
 
Na wewe umefungua thread na ukacoment kabsa kwenye thread ya mtu asiye na akili timamu.
Wasio na akili timamu huwa tunawafundisha, wengine huwa wanatengamaa. Wapumbavu ndio huwa tunawaacha. Wewe walau upo kundi la wasio na akili timamu, tutakuelekeza na utakaa vizuri
 
Wasio na akili timamu huwa tunawafundisha, wengine huwa wanatengamaa. Wapumbavu ndio huwa tunawaacha. Wewe walau upo kundi la wasio na akili timamu, tutakuelekeza na utakaa vizuri
Rage apewe PHD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…