Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Ya kweli haya ?
---
Aden Rage akihojiwa na Crown Media kuhusu sakata la Mkataba kati ya Yusuph Kagoma na Yanga emesema:
---
Aden Rage akihojiwa na Crown Media kuhusu sakata la Mkataba kati ya Yusuph Kagoma na Yanga emesema:
"Wanasheria wetu watanzania watofautishe Elimu yao ya sheria zetu za Tanzania na sheria za FIFA, wanapaswa kujua kuna kitu kinaitwa TMS ambayo ilianzishwa na FIFA ili kusiwe na mambo ya double registration.
Yanga Sc wanaweza kuwa na mikataba yao ya halali kama wanavyosema wenyewe ila wanayo kwenye maktaba zao na hawajapeleka TMS, taarifa zao hawajaziingiza kwenye system, wamekaa nazo taarifa zao hawajaziingiza kwenye sysytem. Mikataba yao haina tofauti na kadi za harusi"
Soma Pia: