Rage: Mikataba ya Yanga kama kadi ya harusi

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Ya kweli haya ?
---

Aden Rage akihojiwa na Crown Media kuhusu sakata la Mkataba kati ya Yusuph Kagoma na Yanga emesema:

"Wanasheria wetu watanzania watofautishe Elimu yao ya sheria zetu za Tanzania na sheria za FIFA, wanapaswa kujua kuna kitu kinaitwa TMS ambayo ilianzishwa na FIFA ili kusiwe na mambo ya double registration.
Yanga Sc wanaweza kuwa na mikataba yao ya halali kama wanavyosema wenyewe ila wanayo kwenye maktaba zao na hawajapeleka TMS, taarifa zao hawajaziingiza kwenye system, wamekaa nazo taarifa zao hawajaziingiza kwenye sysytem. Mikataba yao haina tofauti na kadi za harusi"
Soma Pia:
 
Timu imejaa mashabiki vichwa maji,GSM na kibaraka wake wanawaendesha kama misukule.
 
Manara aliposema kule Yanga wenye akili ni wawili tu , yaani Mzee Kikwete na Mzee Sunday Manara hakuwa anabahatisha . Haji Manara aliona mbali.

Utopoloni gsm na kibaraka wake Hers wanalitambua hilo na ndiyo Maana wanayapeleka kama wanavyotaka.
 
Ya kweli haya ?
---

Aden Rage akihojiwa na Crown Media kuhusu sakata la Mkataba kati ya Yusuph Kagoma na Yanga emesema:

"Wanasheria wetu watanzania watofautishe Elimu yao ya sheria zetu za Tanzania na sheria za FIFA, wanapaswa kujua kuna kitu kinaitwa TMS ambayo ilianzishwa na FIFA ili kusiwe na mambo ya double registration.
Yanga Sc wanaweza kuwa na mikataba yao ya halali kama wanavyosema wenyewe ila wanayo kwenye maktaba zao na hawajapeleka TMS, taarifa zao hawajaziingiza kwenye system, wamekaa nazo taarifa zao hawajaziingiza kwenye sysytem. Mikataba yao haina tofauti na kadi za harusi"
Range aliaminisha watu uongo kuwa anajua sheria ila kesi ndogo tu ya rushwa ilimtia ndani JK akampa msamaha.
 
rage ni mjinga 💀.. no wonder simba is doom.

iko hivi mchezaji anaweza kusign hata na timu 100. ila atasajiriwa na moja tu.

huyu rage anaongea kama sio msomi
 
Back
Top Bottom