Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Nafasi ya Aucho ,inabidi apatikane mtu pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo huyu aliyewaita mbumbumbu wanachama na mashabiki wa simba?RAGE: SIMBA NENDENI KWA ENGINEER AWAFUNDISHE KUSAJILI.
“Usajili wa dirisha dogo unakuja, wakae watafakari waangalie wachezaji wa kusajili. Nawasisitiza viongozi, waangalie sana umri wa wachezaji.”
“Yanga wamefanikiwa kwa sababu wachezaji wengi waliowasajili ni vijana wadogo na wale wenye umri mkubwa karibia wote wamewaacha.”
“Ukiona mwenzako kasajili vizuri, basi na wewe jitahidi usajili wachezaji wengine wazuri. Kuna wakati kulikuwa na tetesi Simba ingewasajili Adebayor na Manzoki lakini kwa sasa hawasikiki tena lakini kuna tetesi huenda wakasajiliwa wakati wa dirisha dogo.”
“Viongozi wetu wanapaswa kuwa waangalifu sana kwa sababu Adebayor na Manzoki hawachezi kwa sasa, unawezaje kujua viwango vyao? Wanapaswa kusajili wachezaji wanaocheza kwa sasa na wana umri mdogo.”
- Ismail Aden Rage, Mwenyekiti wa zamani Simba.
#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2810347
Haya majina uliyotaja nimeona Sarakomo anafaa .Yanga mpk sasa wana scouting ya wachezaji kadhaa ,Chivaviro kaizer chiefs, kibisawala as vita na Sarakomo asec mimosas
Kuna muda saa mbovu inasema ukweliNdiyo huyi aliyewaita wanachama na mashabiki wa simba ni mbumbumbu?
Kama ni huyo aisee nashauri viongozi, wanachama na mashabiki wampuuze mpaka hapo atakapo omba msamaha kutokana na yale maneno yake makali.
Hayo ndo mambo sasaYanga mpk sasa wana scouting ya wachezaji kadhaa ,Chivaviro kaizer chiefs, kibisawala as vita na Sarakomo asec mimosas
Uko sahihi Kuna ofisi nyingi mno ofisi zenye mamlaka karibuni 3 na zote Zina nguvuPale inabidi tu transition ikamilike .....
Hakuna haja ya kuwa na viongozi wengi ...mara CEO, mwenyekiti, makamu ......cijui body ya ma CEO
Wanatakiwa kutoka.. Konkon,Gift na ama skudu au moloko ,waingie haoHayo ndo mambo sasa
Kuna kamati ya ushauriUko sahihi Kuna ofisi nyingi mno ofisi zenye mamlaka karibuni 3 na zote Zina nguvu
Ongezea Philip Kinzumbi TP Mazembe.Yanga mpk sasa wana scouting ya wachezaji kadhaa ,Chivaviro kaizer chiefs, kibisawala as vita na Sarakomo asec mimosas
Barbra yupo Yanga?Mafanikio ya Yanga si wachezaji bora pekee bali pia kuna uongozi wa kisasa wenye akili uliojaa vijana, benchi bora la ufundi na mashabiki wenye mzuka na njaa ya mafanikio! Timu ikifunga bao nne tunaanza kuimba Bado moja Bado moja!!
Hivyo vyote hakuna Simba pale wapo viongozi wahuni, mashabiki mbumbumbu, Mo kanjibai na Dem wake Barbar alietimkia Yanga kimyakimya!
Hahahaha,huyu atasumbua kutoka pale TpOngezea Philip Kinzumbi TP Mazembe.
anapiga au anapigwa kaziLkn mangungu anapiga kazi sana
Mwenyewe amekataa kuongeza Mkataba.Hahahaha,huyu atasumbua kutoka pale Tp
Habari nzuri hiiMwenyewe amekataa kuongeza Mkataba.