rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Rage ndio mbumbu namba moja. Hivi Simba umekuwa sehemu ya kujifunza uongozi, swala la wachezaji wazee limepigiwa kelele muda mrefu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliwaita wanachama Ila alikuwa sahihi kwani hao ndio walimchagua Mangungu kwa kudanganywa kuletewa Manzoki.Ndiyo huyu aliyewaita mbumbumbu wanachama na mashabiki wa simba?
Kama ni huyo aisee nashauri viongozi, wanachama na mashabiki wampuuze mpaka hapo atakapo omba msamaha kutokana na yale maneno yake makali.
Ile ngao ya hisani ilionesha weakness nyingi sana za Simba na ubora wa Yanga.Wenye akili tuliona tangu mwanzo ligi hata haijaanza, mechi za awali...
Kama mpaka mashabiki waseme, wapige kelele, basi kuna shida...
Hivi Gift shida nin, walau Konkon kapewa nafasi lakin wapiiiWanatakiwa kutoka.. Konkon,Gift na ama skudu au moloko ,waingie hao
Tungempata huyu mwamba daaaahOngezea Philip Kinzumbi TP Mazembe.
Safi saana.Mwenyewe amekataa kuongeza Mkataba.
Dah, sijui shida nini ,naona ushindani wa namba mkubwa ,pale kati kuna ,job,bacca,nondo (c)Hivi Gift shida nin, walau Konkon kapewa nafasi lakin wapiii
Kwa msoamali mwenzake. Hivi Chadema wanaweza kwenda CCM kuomba msaada?RAGE: SIMBA NENDENI KWA ENGINEER AWAFUNDISHE KUSAJILI.
“Usajili wa dirisha dogo unakuja, wakae watafakari waangalie wachezaji wa kusajili. Nawasisitiza viongozi, waangalie sana umri wa wachezaji.”
“Yanga wamefanikiwa kwa sababu wachezaji wengi waliowasajili ni vijana wadogo na wale wenye umri mkubwa karibia wote wamewaacha.”
“Ukiona mwenzako kasajili vizuri, basi na wewe jitahidi usajili wachezaji wengine wazuri. Kuna wakati kulikuwa na tetesi Simba ingewasajili Adebayor na Manzoki lakini kwa sasa hawasikiki tena lakini kuna tetesi huenda wakasajiliwa wakati wa dirisha dogo.”
“Viongozi wetu wanapaswa kuwa waangalifu sana kwa sababu Adebayor na Manzoki hawachezi kwa sasa, unawezaje kujua viwango vyao? Wanapaswa kusajili wachezaji wanaocheza kwa sasa na wana umri mdogo.”
- Ismail Aden Rage, Mwenyekiti wa zamani Simba.
#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2810347