Hapana utamu tofauti, kwangu mimi ni kama 50% to 60% ya the real meat.Hiyo sex toy inakuwa na utamu kama mdudu natural?
Mapenzi yafutwe, ndiyo yanafanya niko macho usiku huu 😂Lala Ww uendeleze ukuaji wa ute ute mwilini mwako 😎
Papai hiloHiki ni chakula gani 😆😆😂😂😂😂😂 ??????????
We nyuzi zako sio mchezoJirani The Legacy
Mie sijasema chochote na leo nimesema siandiki nyuzi za kunyegeshana.
Ni wao tu na maupwiru yao 😂
Ah sina mb za kutosha, nmebakiwa na GB 200 za kuangalia pilau usiku huu mpaka saa nane zitakuwa zimeisha, leo nmemis kuangalia pilau 😎
Huna MB alf unasema una GB 200🤔Ah sina mb za kutosha, nmebakiwa na GB 200 za kuangalia pilau usiku huu mpaka saa nane zitakuwa zimeisha, leo nmemis kuangalia pilau 😎
Chache sana hizo mkuuHuna MB alf unasema una GB 200🤔
AiseeChache sana hizo mkuu
SimuAisee
Ni kwenye pc au sim
Mmmmmmh hii vishu asingetoboa..Nilipewa offer ya kula Tako, nikakataa.
Ni hivi, nilienda a fancy Japanese Restaurant, nikaangalia menu yao. Nikakutana na chakula kinaitwa Tako.
Nikauliza hii ni nini? Wakasema ni pweza.
Nikasema aaah, mimi pweza sili nina allergy nao.
Nikakosa kula Tako hivihivi.
Ila mapochopocho mengine ya Kijapani nikayafakamia.
Sili sumu tu mkuu
😂😂😂😂😂😂Sili sumu tu mkuu
Hata wewe ukijichanganya nakupika supu😂😂😂😂😂😂
Well said 😎.Yn n bao everywhere, anywhere 🔥
Mkuu,
Pole sana, shellfish zote ni some ya my favorite food except mussels 👎.Mkuu,
Mimi hata nikitaka kula kuna mavitu nina allergy nayo. Nikila nashindwa kupumua.
Kuna siku nilikuwa kwangu Dar. Nilikuwa nimepata ugeni kutoka US mdogo wangu alirudi likizo ya summer na rafiki zake Wamarekani walitaka kuja kuiona Bongo.
Basi tukawachukua wageni tukawazungusha Dar. Wakasema wanataka kula seafood ya Dar. Nikawapeleka Ferry hawakuamini seafood, especially shellfish ilivyokuwa bei rahisi (ilikuwa miaka ya 1990s). Basi wakanunua seafood, shellfish, by the small buckets.
Sasa sisi nyumbani tulikuwa tunamtania baba tunasema anakula nyoka. Kwa sababu alikuwa anarudi na picha kakaa na Wachina na wa Malaysia huko anakula nao chakula chao. Tukimtania hivyo, yeye anajibu kwamba yeye akitembea huko, wenyeji wake wakiwa wanakula chakula na yeye anakula. Basi na mimi nikasema leo napatikana na mimi wageni wangu wamevamia jikoni, watakachokula na mimi nakula.
Kutoka Ferry, nikawachukua nikawapeleka Msasani Namanga, wakanunua mazaga yao pale, olive oil na vyakula walivyotaka. Na mimi nikanunua vyangu, mostly mchele na matunda. Tukarudi nyumbani. Wakapika poa, tukaanza kula sasa.
Weeeh, ile napiga chakula tonge la pili tu, nikawa nasikia kama nawashwa mdomoni kwa juu hivi, nikaona kama nashindwa kupumua, halafu nikaona ngozi inapata bumps na kuanza kuwasha. Nikajua tu hapa nimekula chakula ambacho sipatani nacho. Ilikuwa yale ma shellfish.
Nikaenda bafuni kuoga nikifikiri itasaidia, lakini haikusaidia kitu. Nikasema hapa itakuwaje sasa? Nikaangalia yale matunda niliyonunua, kulikuwa na maparachichi. Kuna mdogo wangu mmoja alikuwa anapenda sana maparachichi. Nikasema hili parachichi lina a lot of protein. Nikalichukua moja nikajipaka kama mafuta. Mara moja zile bumps zikaondoka. Niligundua dawa hapo hapo!
Kuanzia siku hiyo mimi na kamba, pweza, na hayo mazagazaga yote ya shellfish ni mbalimbali. Kuna wakati nilikuwa nakwenda Christmas parties za kazini, watu wa New York City wanapenda sana hayo ma vyakula. Basi wanayajaza kibao hapo mezani, halafu wakikuona unayapita tu wanakuuliza mbona huli? Nikawaambia nina allergy. Wanasema hata kama una allergy kuna kidonge unaweza kunywa ukala bila tatizo. Nikasema kama mwili wangu umekataa, umekataa tu, sitaki kulazimisha.
Ndivyo hivyo nilivyojua allergy yangu na shellfish mkuu. Kuanzia siku hiyo nazipitia mbali.
Asante.Pole sana, shellfish zote ni some ya my favorite food except mussels 👎.
I can't imagine kutoweza kula sababu ya Allergy, pole!
Duuuh sasa mbona kama unakosa Vitu vitamu aiseee an unakosa kabisa maana nikifikilia yale mapishi... Namapocho pochoMkuu,