Raha jipe mwenyewe ila ukipewa pia ina raha yake

Raha jipe mwenyewe ila ukipewa pia ina raha yake

Kitu gani umefanya siku za karibuni au huwa unafanya mara kwa mara kujipa raha mwenyewe au kupata furaha.

Naanza:
  1. Kufanyiwa oil massage (kukandwa kandwa )
  2. Tendo la raha / Ngono (Kuna mtu aliniuzia toy humu JF, abarikiwe sana)
  3. Kusafiri
  4. Kula nyama
  5. Kucheza mziki

Share na wewe raha zako (labda tutapata kipya cha kujaribu)
piga picha, ukaingia jf, ukakutana na uzi wa mpenzi au mkeo amendika hivi...ooh
 
Hizi toy zinazifanya zinakakamaa sana.
Zikifa ganzi mnaanza ooh hamtufikishi.
Utamfikishaje mtu ambaye ameifanya sugu kwa pembe za meza na midoli?
Aliyeelewa hii reply yote vizuri anielezee kwa upana 😂 .
 
Kitu gani umefanya siku za karibuni au huwa unafanya mara kwa mara kujipa raha mwenyewe au kupata furaha.

Naanza:
  1. Kufanyiwa oil massage (kukandwa kandwa )
  2. Tendo la raha / Ngono (Kuna mtu aliniuzia toy humu JF, abarikiwe sana)
  3. Kusafiri
  4. Kula nyama
  5. Kucheza mziki

Share na wewe raha zako (labda tutapata kipya cha kujaribu)
Ila fresh, baadhi ya silaha zako za hatari nimezijua 🤣
 
Back
Top Bottom