Raha na karaha za vibanda umiza

Umenifurahisha hapo ulivoandika kwamba ukiwa na kitambi au manyama nyama unaweza kuharibu hali ya hewa
 
[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wamekata tena.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Mshana Jr karibia 95% ya uliyoyasema nimekuja kuyaona huku Uzaramoni. Kuna wanzuki a.k.a ubuyu (wanavyoita wenyew) yaan utakuta siku za weekend zinauzwa kwa mafungu (yaan wanzuki 10 unapata kwa jero). Kuna vikundi. Yaan mnakusanyika watu kam 10 mnachanga hata jero jero then mnaweka order ya ck mnayotaka, ck mkienda mtakuta hata sandarusi limejaa... Dah, mkuu kuna mambo kwel huku uswahilin.
 

Hahahahaha andiko lako limenikimbusha tamthilia ya watoto wa mama ntilie
 
Halafu wanzuki zina gesi balaa... Ukikosea tu pale unapofungua, umekwisha... yaan mfuniko unaweza kubutuka kama risasi. Kuna siku tulikuw mnadan... ghafla tukasikia kelele kwenye vibanda umiza... kufika pale kumbe mfuniko wa chupa ya wanzuki umeingia koon mwa mzee moja alipokuw akijaribu kufungua kwa meno. Ilikuwa balaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…