Raha na karaha za vibanda umiza

Raha na karaha za vibanda umiza

Ile kitu inafunguliwa kwa timing mno... Huyo mzee alikuwa mshamba ama alileta ujuaji
Halafu wanzuki zina gesi balaa... Ukikosea tu pale unapofungua, umekwisha... yaan mfuniko unaweza kubutuka kama risasi. Kuna siku tulikuw mnadan... ghafla tukasikia kelele kwenye vibanda umiza... kufika pale kumbe mfuniko wa chupa ya wanzuki umeingia koon mwa mzee moja alipokuw akijaribu kufungua kwa meno. Ilikuwa balaa!
 
Hii [emoji116][emoji116][emoji116]
Hahahahaha andiko lako limenikimbusha tamthilia ya watoto wa mama ntilie
 
 
Back
Top Bottom