Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Bulichekah said:Umeongelea kitaa chetu full. Napoishi pako ivo yan!!! Au tunaishi kitaa kimoja nin chaliiangu!
Upo kitaa gan Bulichekah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bulichekah said:Umeongelea kitaa chetu full. Napoishi pako ivo yan!!! Au tunaishi kitaa kimoja nin chaliiangu!
Halafu wanzuki zina gesi balaa... Ukikosea tu pale unapofungua, umekwisha... yaan mfuniko unaweza kubutuka kama risasi. Kuna siku tulikuw mnadan... ghafla tukasikia kelele kwenye vibanda umiza... kufika pale kumbe mfuniko wa chupa ya wanzuki umeingia koon mwa mzee moja alipokuw akijaribu kufungua kwa meno. Ilikuwa balaa!
Hahahahaha andiko lako limenikimbusha tamthilia ya watoto wa mama ntilie
Mimi basi nilikua najua kua vibanda umiza ni kumbi za kuangalia video uswahilini