Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kila mmoja anapenda starehe; kila mmoja ana starehe. Starehe ziko kila mahali, kinachotofautisha ni madaraja tu.
Kwenye vibanda umiza ndio kuna starehe za bei ya chini kuliko pengine popote pale. In fact, ndiyo SEHEMU za maskini kujimwambafy.
Kwanini vinaitwa vibanda umiza? Ni vijumba kimo cha mbilikimo. Ili uzame ndani inabidi kuinama... Kama una kitambi ama manyama uzembe unaweza kujikuta unachafua hali ya hela. Huko ndani vikalio ni vigogo vya minazi na mabenchi yasiyorandwa
Huko ndani mwanga ni utusitusi. Huwezi kuwaona waliomo mpaka macho yazoee
Huko kuna pombe mpaka za mia mbili.
Huko huwezi kukuta mtu anakunywa Serengeti Lite
Huko hakuna mapaja na vipapatio vya nguku. Vilivyoko huko ni cheni bloku (utumbo) halo halo (vichwa) no 11 (miguu)
Huko hakuna Konyagi na Valuer. Kuna ngumu kumeza kama zote.
Huko hakuna Embassy na Dunhill huko kuna kali gozo na kubwa.
Huko vyoo ni vya makuti.
Huko mapenzi yako mpaka ya jero, na kuna bei elekezi kabisa ya kubwa na ndogo
Miziki maarufu ni ya kina msaga sumu
Video maarufu ni za pilau
Huko condom zinakodishwa na kutumiwa zaidi ya maramoja
Vibanda umiza havina shobo wala kuremba na ole wako ujaribu kutongoza demu wa msela, maji utaita mma
Niko huku kwenye maisha halisi ya Mtanzania mlalahoi