Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Mimi naenda marekani nikipachoka nahamia Uk...[emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani hapa sijaelewa Mkuu. Hii taarifa ilikua ni asubuhi, inamaana fomu za matokeo alizokuwa anazihitaji/anazitaka mgombea Ubunge ni kabda ya kura kupigwa?
Bila shaka.Kuna mwanaume mmoja hapo kwenye hiyo picha, nampenda sana kumoyo, lile pendo la moyoni. Mwenyewe huwa ananiita dada K.
Nini tatizo hapo.....Bila shaka.View attachment 1615083
Kinachonichekesha wameshusha mpaka nguvu ya mtandao na kuvunja katiba ya Tanzania .....kila mtu ana haki ya kuongea kwaio tusiwe wazalendo tuongee tukitumia vibali (VPN) vya nchi nyingine
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Inalamba chaji balaa