Raha, Tamu na chungu ya VPN

Raha, Tamu na chungu ya VPN

Ama tcra wameweza kuzima mitandao, basi tarajieni akipita magufuli, ndani ya miaka mitano kila jambo ambalo haramu ambalo CCM wanaenda kulipitisha, mf kuingeza ukomo wa rais, basi watazima. Ushakuwa utamaduni wao

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
.
Shukrani mkuu! Endelea kudondosha screeshot tusipitwe na kitu
Screenshot_20201028-092517.jpg
 
Nipo London United Kingdom bby nakula raha after that nataka kuingia kumuona shangazi USA baby 😜
 
aliyesmhauri baba jesca kufunga mitandao, ni adui yake mkubwa, nina hakika ccm amepoteza kura nyingi kutokana na uamuzi huu wa kipumbavu ambao umewakera wengi wa waliopanga kumpa kura
 
Back
Top Bottom