Raha, Tamu na chungu ya VPN

Raha, Tamu na chungu ya VPN

Mimi nilitoka USA, then kwa sasa Niko Canada
 
Muwe mnaweka hapa hizo screenshots za kigogo
[FichuaTanzania 2020 elections updates]
!! Usiku wa kuamkia leo watu wasiojulikana walivamia na kumteka mgombea Udiwani wa Chadema kata ya Sinza Evance Luvinga wakampiga na kumjeruhi maeneo mbalimbali ya mwili wake kisha wakamtupa kwenye mtaro.
 
Screenshot_20201028-113410.png
 
Nipo kwa marikia nimeingia asubuhi hii
 
Back
Top Bottom