Raha ya chakula mle pamoja ukisusiwa chakula ladha pia hupotea

Raha ya chakula mle pamoja ukisusiwa chakula ladha pia hupotea

View attachment 1263495

Raha ya kula mle pamoja, ikitokea kuna watakaoona mpishi analeta upendeleo, nyama amejaza upande wa wengine hatimae Mdude. Chakula hupoteza ladha.
Kula hivo hapana,anyway umenikumbusha juzi nipo na jamaa yangu tunakula kitimoto nusu na ndizi zetu za buku 2
Ghafla akaja mtu fulani tunafahamiana nae
Alikuja pale hotelini kununua chakula,sasa alipotukuta tunakula akaanza naye kula bila kukaribishwa na akiwa hajanawa mikono,wakati huo huo ameagiza cha kwake jikoni
TULIMUACHIA ALE CHOTE[emoji36]
 
View attachment 1263495

Raha ya kula mle pamoja, ikitokea kuna watakaoona mpishi analeta upendeleo, nyama amejaza upande wa wengine hatimae Mdude. Chakula hupoteza ladha.
Mkuuu unazaaga saa ngapi? kila sehemu upo? ina kipaji wewe?, hawa ndo wanao? au watoto wa shemeji toka Iringa au kutoka kijijini?

Hili ngama limekaa kimjini, watu wamekaa kaa km wageni wa mjini Dar ambao wamesha zoea mitaa. lkn siyo sana. na kiswahili hawajajua vizuri. TENA SIYO MKOANI.kwa sababu

hawajajisiriba na minguo,

Mkoani hkn chill sauce za Bamaga

hawako soft

wamekaa kaa tayari kudaka matonge

Nidhamu ya kusubiria saver afanye yake

Nguvu za kuchutama

msosi mwingi

wana vipele vya joto

Ushirika wa kupiga ngama

Ongeza nyingine zinazo onyesha hawa watu ni wakuja Dar na si wenyeji wa mjini.
 
Kula hivo hapana,anyway umenikumbusha juzi nipo na jamaa yangu tunakula kitimoto nusu na ndizi zetu za buku 2
Ghafla akaja mtu fulani tunafahamiana nae
Alikuja pale hotelini kununua chakula,sasa alipotukuta tunakula akaanza naye kula bila kukaribishwa na akiwa hajanawa mikono,wakati huo huo ameagiza cha kwake jikoni
TULIMUACHIA ALE CHOTE[emoji36]
mna roho nzuri sana, chake na chenu duuu alishibaje!
 
Mpishi ameweka nyama nyingi upande wenu, mpishi wa mabeberu yuko fair
Weeeee! 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Beberu akupe nyama stuka hrk sana, tena kimbia usiangalie nyuma, lazima ina coccaine hiyo, sumu ya kufisha ubongo
 
Back
Top Bottom