Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Kula hivo hapana,anyway umenikumbusha juzi nipo na jamaa yangu tunakula kitimoto nusu na ndizi zetu za buku 2View attachment 1263495
Raha ya kula mle pamoja, ikitokea kuna watakaoona mpishi analeta upendeleo, nyama amejaza upande wa wengine hatimae Mdude. Chakula hupoteza ladha.
Mkuuu unazaaga saa ngapi? kila sehemu upo? ina kipaji wewe?, hawa ndo wanao? au watoto wa shemeji toka Iringa au kutoka kijijini?View attachment 1263495
Raha ya kula mle pamoja, ikitokea kuna watakaoona mpishi analeta upendeleo, nyama amejaza upande wa wengine hatimae Mdude. Chakula hupoteza ladha.
mna roho nzuri sana, chake na chenu duuu alishibaje!Kula hivo hapana,anyway umenikumbusha juzi nipo na jamaa yangu tunakula kitimoto nusu na ndizi zetu za buku 2
Ghafla akaja mtu fulani tunafahamiana nae
Alikuja pale hotelini kununua chakula,sasa alipotukuta tunakula akaanza naye kula bila kukaribishwa na akiwa hajanawa mikono,wakati huo huo ameagiza cha kwake jikoni
TULIMUACHIA ALE CHOTE[emoji36]
View attachment 1263495
Raha ya kula mle pamoja, ikitokea kuna watakaoona mpishi analeta upendeleo, nyama amejaza upande wa wengine hatimae Mdude. Chakula hupoteza ladha.
Weeeee! π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π Beberu akupe nyama stuka hrk sana, tena kimbia usiangalie nyuma, lazima ina coccaine hiyo, sumu ya kufisha ubongoMpishi ameweka nyama nyingi upande wenu, mpishi wa mabeberu yuko fair
Nimeona iyo picha nikakumbuka iyo siku niko kwenye sherehe tumeshajipanga tunasubiria sinia zishuke na pilipili ya kupikwa imeshaletwa afu tunaletewa taarifa msosi umeisha...noma sana