Raha ya kupanga chumba kimoja

Raha nyingine ni pale kitanda kinapokuwa kiti. Matokeo had uipanga yenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu ni moja tu USITUKANE WAGUMBA NA UZAZI UNGALIPO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaishi hivyo wangu, tena tume up grade kila chumba kina huko la gesi na mtungi wake. Kwenye corridor labda kukaanga samaki tu kwani wana shombo. Shangaa wewe fire extinguishers hatuzijui lakini tunala na mabomu.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.... haya mkuu! ila raha ya chumba kimoja kinatakiwa kama chumba cha hotel... nionavyo mimi... raha ya chumba lazima kiwe na space na hewa ya kutosha, sio kachumba unajaza vitu kama store
 
Unaamka asubuhi unaona mali zako zote[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.... haya mkuu! ila raha ya chumba kimoja kinatakiwa kama chumba cha hotel... nionavyo mimi... raha ya chumba lazima kiwe na space na hewa ya kutosha, sio kachumba unajaza vitu kama store
Karibu kwetu Kwamtogole uyaone. Kuna kitanda, seti ya makochi, kabati la nguo, coffee table ambayo pia ndiyo dining table. Pembeni kuna meza ina jiko la gesi chini ya meza ndoo ya unga na mchele na galoni ya mafuta ya kupikia.
 
Chumba kimoja wageni wanakaribishiwa kwenye mgahawa, ila tu tunawapisha home waache baraka na kujua mahala ambapo naishi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Duuh! Hii ni kwa wale wakidigitali ila kwa kule Uswahilini kama alikosema Da Sky Eclat kila kitu kinapatikana humo humo kwenye chumba kimoja.
 
Chumba Kimoja Noma, Hapohapo Sebule. Bedroom, Jiko, Sitting Room Na Stoo. Vitu Vimejaa Hakuna Nafasi Ya Kudeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…