Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,042
Duuh! Hii ni kwa wale wakidigitali ila kwa kule Uswahilini kama alikosema Da Sky Eclat kila kitu kinapatikana humo humo kwenye chumba kimoja.
Inategemea chumba hicho kipo maeneo gani dada, chukulia mfano wa yule mtanashati wa buguruniHapana ninapinga hoja. Ukiwa na discipline unaweza. Baada ya kula unaosha vyombo, sufuria ya ugali unaosha juu unabakiza ule ukoko wa chini tu. mboga iliyobaki unaifunika kwenye container.
Sawa Rafiki na ili chumba kimoja kisijae kama usemavyo suluhu kuwe na chumba cha zaidi ya. Ila nje ya hapo vitu vitajaa tu.chumba kiomojaa kikajaa vitu vingi sana hatari, kenge, tandu na nyoka unaweza kuta wanaishi pamoja... πππ
Sawa Rafiki na ili chumba kimoja kisijae kama usemavyo suluhu kuwe na chumba cha zaidi ya. Ila nje ya hapo vitu vitajaa tu.
Labda kwa wale vijana ambao wao wakitoka asubuhi wakirudi wanalala ndio wanaeza vyumba vyao visijae makorokoro.
ndio maana halisi ya ulinzi shirikishivitu vyako vyote unaviona[emoji3][emoji3][emoji3]
Hivyo miaka hiyo ulikuwa na kitanda pekee hamna viti hiyo. πππmtani sasa hivi sehemu ya wageni wa kike na kiume ipo, niliondokana na matumizi ya chumba kimoja, lakini 9 years back kichuo chuo ilikuwa hatar tupu.
Tena uwe na birika ya umeme na TV. Mama mwenye nyumba anaomba kikombe cha chai kabla hujaenda kazini na ukirudi anakusubiri uoge aje kuangalia tamthilia.Chumba kimoja raha sana
Ni waongo hata University wanaishi hivyo labda wale wa kupelekwa shule na VX mpaka chuoWatoto wakishua hawezi elewa hiii ya chumba kimoja hapo nikama vile wanasikia singeli kwenye masikio yao kumbe ni wimbo wa taarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani huyo itakuwa anataka kulinda mali zake yaani ye kila akiamka akipiga jicho Sub woofer , begi la nguo , viatu na hata jiko la mchina / gesi vyote anaviona. πππ[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Umesema ukipata mgeni jinsia nyingine mambo ni burudani, umewaza nini mkuu leo, eti ukiamka ndiyo vitu vyako vyote vipo sehemu moja kwani ukiwa na vyumba vitatu inakuaje hahhaha imecheka sana
a tree is known by its fruit
Hahaaaa. Hakika rafiki maisha ni safari.Maisha ni safari rafiki, nakumbuka wakati nimemaliza chuo, tulikuwa tunakaa kwenye chumba kimoja watu zaidi ya 10, tulikuwa tunalala kwa kupokeza ππππ.... msosi tunao pika, ugali mkubwaaa vibaya na dagaaa
Hakika mtani nilikuwa na kitanda na sabufa yangu mmoja matata basi, na Mimi wageni wa kubwa walikuwa ni wa kike mtani, kwaiyo kukaa chini walikuwa hawawezi wanafikia kitandani tu, kwaiyo nilikuwa na jichinjia tu kama kagere anavyojichinjia sikuhizi.Hivyo miaka hiyo ulikuwa na kitanda pekee hamna viti hiyo. πππ
Ujana raha sana Mtani.
πππndio maana halisi ya ulinzi shirikishi
HahahahaTena uwe na birika ya umeme na TV. Mama mwenye nyumba anaomba kikombe cha chai kabla hujaenda kazini na ukirudi anakusubiri uoge aje kuangalia tamthilia.
Hahaaa. Ndio nilichokiwaza na mie Rafiki sababu kuna umri na umri wa kukaa chumba kimoja nje na maisha yale yetu ya Uswahilini.ila rafiki, nilikuwa hapa nachangamsha genge, maisha ya chumba kimoja nimeacha miaka mingi iliyopita aisee....