Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,042
Duuh! Hii ni kwa wale wakidigitali ila kwa kule Uswahilini kama alikosema Da Sky Eclat kila kitu kinapatikana humo humo kwenye chumba kimoja.
ila rafiki, nilikuwa hapa nachangamsha genge, maisha ya chumba kimoja nimeacha miaka mingi iliyopita aisee....