Raha ya kupanga chumba kimoja

Raha ya kupanga chumba kimoja

Hapana ninapinga hoja. Ukiwa na discipline unaweza. Baada ya kula unaosha vyombo, sufuria ya ugali unaosha juu unabakiza ule ukoko wa chini tu. mboga iliyobaki unaifunika kwenye container.
Inategemea chumba hicho kipo maeneo gani dada, chukulia mfano wa yule mtanashati wa buguruni
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Umesema ukipata mgeni jinsia nyingine mambo ni burudani, umewaza nini mkuu leo, eti ukiamka ndiyo vitu vyako vyote vipo sehemu moja kwani ukiwa na vyumba vitatu inakuaje hahhaha imecheka sana

a tree is known by its fruit
 
chumba kiomojaa kikajaa vitu vingi sana hatari, kenge, tandu na nyoka unaweza kuta wanaishi pamoja... 😀😀😀
Sawa Rafiki na ili chumba kimoja kisijae kama usemavyo suluhu kuwe na chumba cha zaidi ya. Ila nje ya hapo vitu vitajaa tu.

Labda kwa wale vijana ambao wao wakitoka asubuhi wakirudi wanalala ndio wanaeza vyumba vyao visijae makorokoro.
 
Maisha ni safari rafiki, nakumbuka wakati nimemaliza chuo, tulikuwa tunakaa kwenye chumba kimoja watu zaidi ya 10, tulikuwa tunalala kwa kupokeza 😀😀😀😀.... msosi tunao pika, ugali mkubwaaa vibaya na dagaaa
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Umesema ukipata mgeni jinsia nyingine mambo ni burudani, umewaza nini mkuu leo, eti ukiamka ndiyo vitu vyako vyote vipo sehemu moja kwani ukiwa na vyumba vitatu inakuaje hahhaha imecheka sana

a tree is known by its fruit
Mtani huyo itakuwa anataka kulinda mali zake yaani ye kila akiamka akipiga jicho Sub woofer , begi la nguo , viatu na hata jiko la mchina / gesi vyote anaviona. 😀😀😀
 
Maisha ni safari rafiki, nakumbuka wakati nimemaliza chuo, tulikuwa tunakaa kwenye chumba kimoja watu zaidi ya 10, tulikuwa tunalala kwa kupokeza 😀😀😀😀.... msosi tunao pika, ugali mkubwaaa vibaya na dagaaa
Hahaaaa. Hakika rafiki maisha ni safari.

Na hapo waeza kuta kitandani wote mnatosha. 😀😀
 
Hivyo miaka hiyo ulikuwa na kitanda pekee hamna viti hiyo. 😂😂😂

Ujana raha sana Mtani.
Hakika mtani nilikuwa na kitanda na sabufa yangu mmoja matata basi, na Mimi wageni wa kubwa walikuwa ni wa kike mtani, kwaiyo kukaa chini walikuwa hawawezi wanafikia kitandani tu, kwaiyo nilikuwa na jichinjia tu kama kagere anavyojichinjia sikuhizi.
 
Back
Top Bottom