Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
Ujumbe wako unakaukweli ndani yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu naona kama hii hali imezidi yani yani kwa mwanamke ambaye sijamzoea ila nimemtamani coz yuko around all the time napata ugumu sana sometimes hata salama anaweza asiipate nikajipitia zangu tuKaka Two dimension array usiwe na hofu hilo ni janga la kitaifa kwa vijana wa kileo, wenzako sisi zamani ilikuwa unasukumiziwa mtoto ukshindwa kutongoza unasemwa mpaka unatamani ardhi ipasuke, mdogo mdogo mpaka unakuja kuzoea. Siku hizi mmerahisishiwa mambo, ni kubofya tuu.
Karibu ukaribie hujachelewasijui nimewahi siti
Mh! Mkuu hizo imani kwasasa hivi sijui kama ni applicableKwani weee kwenu hamna wazee tumia dawa..
Zamani kijijini kwetu kuna ndege fulani mweupe na mweusi anapenda kukaa kwenye yale mawe ya mtoni tuliawahi kuambiwa ukiweza kumuua ukakata yale manyoya yake ya mkia na ukaenda kuyachoma ule moshi wake ukajifuluzia (kama wanavyojufuluzia ubani) basi hapo kila mwanamke utakae pishana nae kama umempenda ukimpa mkono kama salam tuu yeye mwenyewe anakutamkia
Hiyo ilikuwa zamani siku hizi ni hela tuu sio maneno laini tenaMh! Mkuu hizo imani kwasasa hivi sijui kama ni applicable
Acha ushamba tongoza tuuu ukikosea poaHabari za weekend JF member
Kichwa cha habari hapo juu cha jieleza.
Kwanza kabisa nipende kueleza kuwa katika historia ya maisha yangu sijawahi kutonga live (face to face) sijajua tatizo I'm still to young au ndo udomo zege sijui hata ni VP.
Ila nilishapata kuwa katika mahusiano na mabinti wawili by the way tulisha achani and now I'm still alone. Lakin jinsi nilivyowapata ilikua ni through phone ( chatting) basi humo ndo nilikua na dondosha vocals.
Sasa wadau na wabobezi kwa experience mliokua nayo inakuaje mpaka unaanza kumuita msichana na kuanza kumtongoza na haswa maneno gani ambayo unamwambia mpaka binti au mdada anakuelewa.
Kwangu kusema kweli kumekuwa na uzito mkubwa sithubutu kunyanyua kinywa na kuanza kumtongoza mtoto wakike
Wadau karibuni mnipe mawazo at least nianze kujenga confidence juu ya hawa viumbe......
Pesa tuziweke pembeni lete maneno hapa mpaka binti wa kike anazikubali swaga.
Karibuni wadau.
One mistake one goal" sio ushamba mkuu . kutongoza ni art na nikipaji vilevile. Kama ww ni hodari katika hii nyanja plz give usAcha ushamba tongoza tuuu ukikosea poa
Actually pesa zipo, ila kutongoza kuna raha yake kumpanga mtoto mpaka anakuelewa of course ni kipaji tukiweka pesa pembeniHiyo ilikuwa zamani siku hizi ni hela tuu sio maneno laini tena
Ehee we ndo mwenyewe Tozi tena nyangema Tupe miwili mitatu maujuziMimi face 2 face nipo poa kumwaga mistari, na kwenye mtandao au cm ndio kabisaaa.
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Mkuu unajua watu wengi wanapenda kujiumiza kichwa kwenye kutongoza, lakini kikubwa ujumbe kufika kwake yule mwanamke. MfanoEhee we ndo mwenyewe Tozi tena nyangema Tupe miwili mitatu maujuzi