Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Jambo la kwanza ni kujua kuwa wanawake wanawaza sawa na wanaume ila tunatofautiana hisia tu. Ukijua ilo fanya mtongozo ukiwa wewe asilia achana a kuleta umarekani mwingi. Ndio maana vibabu wanatunyang'anya watoto wazuri mjini
 
Kuna bibi wa miaka 72 yupoyupo tu hapa mtaani kwetu..
Kesho nikiamka asubuhi namtafuta natimiza wajibu wangu kama mwanaume[emoji51][emoji3]
 
Ukiachana na majukumu kwanza raha sana pale unapo mseduce msichana na kupima akili yake
Hapa sasa ndo majanga,nilitembelea ofisi
Fulani nikaona ngoja nifanye mazoezi
kiutani utani dah! nikashangaa nimekubaliwa
japo kwa masharti kwamba hapa ni kazini
tupange miadi ya kukutana sehemu
wakati mimi nilikuwa natest zari.
nilipotoka ni kimoja,na nikiendaga
ofisi ile ninajifanya bussy kinoma na salam
za juu juu tu.
 
Nina tongoza wanawake wawili wanaofanya kazi karibu karibu kampuni mbili tofauti. Na wana urafiki fulani hivi wa mbali. Siku wakiambiana watajijua wenyewe.
 
Utafiti mmoja niliowahi kuusoma unaeleza kwamba wanaume waoga wa kutongoza hutokea kuwa na hisia za kikatili hasa ukatili wa kijinsia?hisia za kukataliwa na kujihisi kupuuzwa na jamii,wengi huwa hawafanikiwa kimaisha!na huwa ni watu wanaotumia nguvu nyingi kujihami na adui ambaye Hamjui au hayupo!
Tifiti hii imefanywa na nani? Wapi?
 
Back
Top Bottom