Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Very truuu......mi mgumu kulainika ila kuna jamaa fulani last year alininyegesha huyoo[emoji23] [emoji23] ....kuna wanaume wajanja asee!
 
Naomba namba yako ya M-pesa, nkuingizie dollar
 
Kutongoza ukujawai kuwa biashara na hakukkwai pitwa na wakati kwani simapitio ya maisha bali ni sehemu ya maisha kamili.

Inamaana uliowai kuwapenda wote walikuja kujitongozesha kwako ?
Kikubwa kusoma 'signal'
 
Meona eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] .....straight to the point but anakutia hamasa!

Ukikaa vibaya unaliwaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo from nowhere tu anakwambia nakupenda kumbe ndio kujua kutongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…