witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Very truuu......mi mgumu kulainika ila kuna jamaa fulani last year alininyegesha huyoo[emoji23] [emoji23] ....kuna wanaume wajanja asee!Tatizo baadhi ya mitongozo inaboa.
Imekaa kizamani zamani.
Unatongoza mdada wa miaka 20+ na mitongozo ya kijinga kama unarubuni mtoto wa la saba [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Silaha mnazotumia ni zile zile, hamna jipya.
Wengine mnatumia nguvu nyingi kama mnalima, hadi anayetongozwa anavuja jasho.
Ila kuna wanaume wanajua kutongoza bhanaa, hadi unasikia raha. (Wapo mikoani tuu)