Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Ni kweli kabisa ,kuna mwanamke niliwahi mtongoza akanitukana balaa,Mara ooh Malaya wewe ,Mara ooh una Nina sura ya kishetani ,hahaa wakati kipind hicho nilikuwa Hb
 
hili jambo xntosahau nlimtongoza demu wik nzima akaniambia ntmie vocha nkatma akaniambia ntakujibu kesho na kweli akanijbu kwa hasira nkamuambia ntakushukuru na me week ijayo kama nimeridhka uwepo wapo xtakag urembo bandia kbsa
Xaxa mkuu unamtongoza na hizo xaxa atakukubali kweli?[emoji15] [emoji23]

Hebu jifunze kuandika vixuri ndo ukamtongoze manxi wako....xawa eeeh?
 
So kwa namna hiyo. Akija kila mwanaume anayejua kutongoza ..possibility ya kupewa zigo ni kubwa
 
Dada usimuusishe Mungu kwenye Uzinzi.
 
titimunda, Kabisa Mkuu na ogopa wale madem unapowatongoza attention yao ikawa kwako unaweza juta kwanin ulimfata utakaposhindwa kujitetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…