Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Kwa mtazamo wangu ..naona kinacho matter zaidi kwa mwanamke n vile anavokuona Mara ya kwanza ( first impression) km akiichukulia positive possibility ya kumpata n kubwa. Akichukulia negative hapo kumpata n mtiani ...siamini sana katika ushawishi wa Maneno kwamba ndo unamfanya mwanamke akuelewe ...ukitaka kujua hili linaukweli angalia watu wenye good look,wenye status mfano labda anakaz nzuri n.k ndo wanawapata mademu kiurahisi bila hata ya kusema chochote so kinacho matter zaidi n jinsi mwanamke atakavokuchukulia kwa Mara ya kwanza ndo ita determine km atakukubalia au utachezea cha mbavu.....
 
Mmmh hapana mkuu...usicheze na hisia dear[emoji15] ....

Can u imagine huyu ni CEO wa kampuni tena kubwa tu worldwide, bonge la HB ila malaya mbwa hafai ( ni mzungu)[emoji15] [emoji15] [emoji15] .... Mi sikumpenda from the first day na anajisifia kabisa kwamba mademu wote Tz huwa wanajipendekeza kwake lkn anashangaa kwangu why!

Only this nataka kumuonesha na kumprove wrong kuwa sio kila mwanamke anahisi atamla na of course kama kawaida simpendi hicho ndio kikubwaa!
 
Sisi ndo wanaume wa mwisho mwisho wa aina hii
 
witnessj, ]Hapo nimekuelewa my dear.
Nakubali sio kila mwanamke humpenda mwanamme sababu ya status ya mtu katika mahali husika hapana,bila shaka wew ulichukizwa pia na tabia mbya yake aliokua nayo.
Kitu chengine sisi binaadamu hakuna mtu aliozaliwa akawa na mapenzi moja kwa moja ila tulijifunza kupenda ndio maana katika huo upendo tunatongozana.

Inawezekna leo nikakufata na kukutongoza ukakataa tu lbda kwasababu zako maalum ila kuna vile unaweza ukajibdilisha kwa mtu na ikakujia tu kubadilisha maamuzi.
 
Daaah umeongea kwa hisia sana [emoji23]
 
Congrats my....yaaan we ni muelewa balaa!

Lijimwanaume lingine kwenye hii comment lingejiropokea tu!

Kama ulivyosema cha kwanza kabisa simpendi, malaya, halafu cha ajabu sasa baada ya kumkataa eti anajifanya mnyenyekevu kwangu, sio malaya[emoji23] [emoji23] ...mwisho naulizwa kwanini ninamchukia!....haaaahaaa huwa ananifurahisha mnoo
 
Ahsante,congrats kwako pia.
Ningesema muonee huruma jamaa ila swezi kusema hvyo kwasababu ila fisi huutamani mfupa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…