mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
Kwa mtazamo wangu ..naona kinacho matter zaidi kwa mwanamke n vile anavokuona Mara ya kwanza ( first impression) km akiichukulia positive possibility ya kumpata n kubwa. Akichukulia negative hapo kumpata n mtiani ...siamini sana katika ushawishi wa Maneno kwamba ndo unamfanya mwanamke akuelewe ...ukitaka kujua hili linaukweli angalia watu wenye good look,wenye status mfano labda anakaz nzuri n.k ndo wanawapata mademu kiurahisi bila hata ya kusema chochote so kinacho matter zaidi n jinsi mwanamke atakavokuchukulia kwa Mara ya kwanza ndo ita determine km atakukubalia au utachezea cha mbavu.....