Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 549
Kuna Mwanamke nilimtongoza kwa alivyonijibu ilinibidi nipumzike kutongoza mwezi 1
Mi sitongozi hata....
Mimi huwa sitongozi ila natongozwa na mabinti. Huwa nikiona mtu ananifaa natengeneza ukaribu tu na success rate ni 99%.Ukiwa mvivu kutongoza dizaini za kina amber rutty zinakuhusu vibaya sana
Mimi huwa sitongozi ila natongozwa na mabinti. Huwa nikiona mtu ananifaa natengeneza ukaribu tu na success rate ni 99%.
Huwa siandamani na wanawake dada....deputy who? Sio desperate its just they know what they want and go for it.Aina ya wanawake unaoandamana nao inajisadifu (hichi kiswahili sijui kimetokea kwenye oblongata?)
Unakutana na wanawake walio desperate for what you offer. Hivi nimtongoze mwanaume halafu aanze kuact like he is deputy jesus? Im liberal ila hapo sijafika bado.
Huwa siandamani na wanawake dada....deputy who? Sio desperate its just they know what they want and go for it.
Wanaume wengi hii mbinu huwaga zimewakalia kushoto.....lkn itakuwa ubahili!
Hakuna mwanamke atakayekupenda hii dunia kama una mkono wa birika!...mwanamke hata kama analipwa 20m per month na wewe mwanaume unasukuma mkokoteni[emoji23] [emoji23] ..still anataka hela ako!...this is naked truth[emoji15]
Huu ni ukweli mchungu
Kuna mmoja nilimpenda nikamwomba namba akasema hana simu cha kushangaza rafiki yangu alimuomba namba akapewa siku io io wakawa wanawasiliana jamaa akapiga shoo leo wameachana jamaa lengo lake ilikua kula mzigo na kusepa kwa stairi hii what goes around comes around mpaka leo ananiangalia afu sina shobo mikausho mikali poa wadau najiuliza kila siku mtaendelea kuumizwa aisee karibuni Chuga
Ha ha alaf sijawahi chukuaga mademu wa hivyo...Ukiwa mvivu kutongoza dizaini za kina amber rutty zinakuhusu vibaya sana
Aisee mkuu kweli yaaani inafikia mahali mwanamke akizidi kuomba ela huyo si mke bali ni binti yako afu sasa wanajuta kama huyo binti anajishtukia afu sirudi nyuma mbele kingine wana wivu sababu akiona amekukataa atamlazimisha na rafiki yake akukate ili ukose wote sababu wote siongei nao na mambo yanakwenda
Huyo demu alinishangaza sana aisee, OK fine hanipendi ndo maana ananiomba omba hela, why ani-convince nimuoe? Yani nlichokuwa napata ni kuombwa hela kila cku, na k*ma hupewi, nkaona ntafilisika hapa nkatoka mbioooo Nickson Swai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo jibu linatosha kuuwa mtu usijejaribu kulitumia dah!Kuna watu mnatongoza kishamba sana hadi unatamani kumjibu bro hebu katulie nitakuja kukutongoza mie
Mkuu najua kunielewa ni ngumu ila kama mungu angekuwa na uwezo wa kuamisha sijui niite ni nuksi hii au nakosa jina la kuiita basi aihamishe kutoka kwangu kuja kwako aamin.Hakuna mwanaume duniani anapata k*ma nyingi kirahisi, au anaetongozwa directly na wadada, labda uwe celebrity/maarufu...au an extremely handsome dude who have game grand millenial