Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 549
Kuna mmoja nilimpenda nikamwomba namba akasema hana simu cha kushangaza rafiki yangu alimuomba namba akapewa siku io io wakawa wanawasiliana jamaa akapiga shoo leo wameachana jamaa lengo lake ilikua kula mzigo na kusepa kwa stairi hii what goes around comes around mpaka leo ananiangalia afu sina shobo mikausho mikali poa wadau najiuliza kila siku mtaendelea kuumizwa aisee karibuni Chuga