Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Man man man una tatizo kubwa mno
 
Nafikiri unajibiwa kulingana na mwenyewe ulivyotaka ujibiwe, i wish mngekuwa wanawake maybe mngeelewa.
 
Mkuu najua kunielewa ni ngumu ila kama mungu angekuwa na uwezo wa kuamisha sijui niite ni nuksi hii au nakosa jina la kuiita basi aihamishe kutoka kwangu kuja kwako aamin.
Tena wengi huwa ni wana wasela wao kabisa ila tatizo mi si kitomb.....i
Huwa unatuchukulia mademu zetu kumbe aiseee,
 
Mkuu daaah
 
Eeeh man ndio mana nikasema wana ile hali ya wivu mfano rafiki yake amekupenda afu yeye amekukataa atasema huyu jamaa muhuni ana mke mfano nipo Arusha lakini Dar home ivyo ataambiwa una mke huko ili kuharibu
Anhaa so alikuzibia dah!
 
Mimi kuna binti nilimtongozaga miaka 3 iliyopita akanichomolea nje kwa dharau,sasa nashangaa mwezi uliopita ananitumia sms hutaki mzigo . Nimemjibu nilikupenda kipindi kile wakati hujazaa ,sasa sipendi used
Hahaha...
 
Eeeh man ndio mana nikasema wana ile hali ya wivu mfano rafiki yake amekupenda afu yeye amekukataa atasema huyu jamaa muhuni ana mke mfano nipo Arusha lakini Dar home ivyo ataambiwa una mke huko ili kuharibu
Wanawake hawaeleweki yani kakukataa afu anaona wivu [emoji23]
 
Pole pole mama. Utatuulia wanaume wetu wa dar.
 
Jamn wanaume wenzangu ukitaka kupata mwanamke yeyote fanya haya::

» kuwa smart (kuvaa vizur)
» Jiamin hata kama una sura ngumu kaza kama harmorapa
» Hata kama ukipiga swaga akakwambia nina mtu sio kwamba kakataa hapana hilo jibu lina maana hii hapa
* hana bikra
* utongoze kwa akil coz ana mtu.
* au ili usije ona na yeye bwege.

Kinachotakiwa wa tongoza ww kaza lazma utakula tu

» acha maneno mengi kuwa mtu mcheshi na sio wa kujisifiaa (coz atakuomba kitu ambacho huna [emoji23][emoji23][emoji23]

» kuwa mpole hata kama unawenge kwake kuwa msenge[emoji23][emoji23]


Usiogope mwanamke yeyote ww mtokee sio ushamba ni kazi tuliopewa wanaume

Mwishooo

Unapomfwata mwanamke usiangalie mazingira ya pembeni « namaanisha acha wasiwasi coz pale unapokuwa na wasiwasi hapo ndo umepoteza confidence 75%


Kazi kwenu wanaume wenzangu « HAPA HUTOTUMIA HELA NYINGI SANA (guest + chakula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…