Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Ndio unaanza kunitongoza au..?Naongea na kila kitu chako. Yaani uchaguzi wa avatar unaonyesha jinsi gani ulivyo smart kichwani.
By the way naitwa Castr.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio unaanza kunitongoza au..?Naongea na kila kitu chako. Yaani uchaguzi wa avatar unaonyesha jinsi gani ulivyo smart kichwani.
By the way naitwa Castr.
Hapana. Ukianza kuona nauliza unaishi wapi jua ndiyo moto umeanza kuwaka.
Haya nimefika. Kijana wangu kasema umetaka niitwe.
Mbona mnalingana? Basi ukoo wenu wote siwatakiHaya nimefika. Kijana wangu kasema uniite.
We binti hadi mimi nimepigana vita ya Kagera hunitaki? Hautapata mwanaume mkakamavu kama mimi
We binti hadi mimi nimepigana vita ya Kagera hunitaki? Hautapata mwanaume mkakamavu kama mimi
Hapaitwi Ndotoni panaitwa Nkolandoto. Sasa pale niliwaonyesha ujuzi na ukakamavu wakabroo wakanipost Bujumbura.
Hahaha kwa hiyo hujaoa?Hapaitwi Ndotoni panaitwa Nkolandoto. Sasa pale niliwaonyesha ujuzi na ukakamavu wakabroo wakanipost Bujumbura.
Umenikumbusha mbali sana binti.
Bado sijaoa.
Kwa nini hujaoa sasa mzee au unataka kunifanya mimi small hausiBado sijaoa.
Nilikua naogopa sana commitment. Ile comment yako imeuondoa uoga wangu kwa 48%