Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndege hana hela ya eid huyuu...hana lolote😂😂😂ametushikilia bango leo kama nn..Mother Confessor Njoo kipande hii.
Kaibuka tena na uzi huu eti "Ni Hali inazidi Kuwa mbaya.unaweza UKAWA na hela na ukamuona demu mzuri unashindwa kuongea naye.na ukikutana na demu mkali anakupiga hela na kumtom humtom"
Inategemea ntu na ntu. Kutongoza ni kipaji.
Hahaha, kuna section ya Research hawa New School wanaisahau.
Kama huja mresearch mtu atakutoa knockout.
Ukiwa na pesa kuwa na demu mbaya ni kujitakia
Kweli Kweli Mzee wa Kuwala.nyie ndo mnatudhalilisha wanaume, yani ww unahela unashindwa kumpata mwanamke kweli?? watu mnamidomo mizito hadi mnakera
Bro usinitafutie ubaya..Hakuna common definition..Ubaya unachangiwa na vitu vingi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] definition ya demu mbaya please!