mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 896
- 1,435
Nitakujibu kwenye simu,mwanaume unakomaa mpaka kijasho kinamiminika mtoto anabadili msimamo anakwambia nitakujibu tukiachana hapa,lkn bado unakaza mara rwaaah zip ya mkoba inafunguliwa inaandikwa sms NIMEKUBALI MY BEARSOLDIER.
Alafu unaona inatumwa kwako hahah unaanza kutabasam kama sukari imeshuka bei.mara mtoto sasa baadae babe.....
Alafu unaona inatumwa kwako hahah unaanza kutabasam kama sukari imeshuka bei.mara mtoto sasa baadae babe.....