Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Kamaliza marafiki wa kuwatongoza, anatafuta marafiki wapya. Awatongoze
Asa si awatafute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamaliza marafiki wa kuwatongoza, anatafuta marafiki wapya. Awatongoze
Asa si ujikontroo mkuu Makini SanaNahtaj kujicontrol nisiwe natongoza tongoza tubaki tu kama marafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀
Kuwa rafiki yake uone kama kweli atakutongoza, isije ikawa anatupiga kamba hapa..!!
We unataka uwe na marafiki wa kike wa kazi gani? Kama mwanamke humtongozi, kuendeleza urafiki nae kwanza ni kumzibia rizki maana vijana wataogopa kumtongoza wakijua ana mtu kumbe we pazia tu pale.Nahtaj kujicontrol nisiwe natongoza tongoza tubaki tu kama marafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mi napenda unikatae kwanza weeee, naona raha sana...
umesahau kumalizia point muhimu baada ya neno kutongona nayo ni......"Kukubaliwa"
Dah bas inabidi niupdate android version...kwasabab last seen ya kutongoza ni mwaka jana...au unanishaurije window imeshaexpire??